Am not materialistic but I still can't keep a man

All things works good for those who trust in Jesus.

Brenda do not loose hope my dear sister, have patience cause when God created you He had already created your Adam. And your Adam is perfect just for you, not according to worldy standards but according to God's standards.

You are the rib from his rib, you two match just perfectly together. but you will never get him if you use natural ways of reasoning. Involve Holy Spirit in all your decisions and your way will be directed.

Just hang in there Brenda. Just for a little while. God is in control.

what about us who believe in Muhammad SAW.....?!
 
Daaaah hasante mkuu, am suffering from this too, especialy hiyo number 1 ila mie ni to forget not to forgive. Eli79 umepotelea wapi? Miss youuuu

Ex darling atoto, najua huishi kunimisi. Nipo ila siasa imenipenda upeo. Ukishindwa kusoma na kuelewa, niite chumbani leo usiku nikusomee...naamini utanielewa!!
 
Last edited by a moderator:

Mweeeeh!! Najuuuta kukuita.
 
Last edited by a moderator:
Daaaah hasante mkuu, am suffering from this too, especialy hiyo number 1 ila mie ni to forget not to forgive. Eli79 umepotelea wapi? Miss youuuu

Hiyo namba moja ni muhimu sana na wanaoikumbatia wengi wao huishia kuumia kila siku, kimsingi hata kama mtu wa nyuma alikuwa mbaya unachotakiwa ni ule ubaya wake uwe kama fundisho kwa mtu wako mpya nikiwa na maana unaji-adjust ili yale ya nyuma yasitoee, wakati mwingine matatizo ya ex wako huwa ni funzo la "kumbe wanawake ama wanaume huwa wapo hivi endapo akifanywa hivi", japokuwa amekuumiza lakini umetambua kumbe sitakiwi kumfanya hivi ila ninatakiwa niishi nae hivi mwisho wa siku mdogomdogo watu hubadilika. (watu wanakutana ukubwani na kila mtu ana mitabia yake kama kila pande itamwelewa mwenzake na kumchukulia poa polepole huwa wanabadilika though kuna wengine wachache WAMEZIDI HUWA HAWAVUMILIKI)
 
Mie tatizo sio kusamehe maana ukinitenda hata siagi na nasahau harakaaa namove on, mimi tatizo langu ni kumsahau nilompenda haswaaaaa alafu hayupo tena duniani.
 
Kumbeee....?!
kobe-bryant.jpg

Pole sana atoto. Haya futa machozi.
 
Huyo mtu ni nani? Unampenda sana.

Acha dhambi Atoto. Humjui Black Mamba?? acha hizo bana.

Ni mkali. Anachezea timu nayoipenda. Halafu he has a super cocky attitude, but cool like a certain somebody.
 
Back
Top Bottom