Am really tired to be alone

Duuuh.....,!!! ngoja nikatize tu[emoji15] [emoji15]

Mapenzi mabaya......!!!
 
Siku ile aliyetoa vigezo mkadai aumbe wa kwake tu maana ni vigezo rukuki! Leo mnapewa nafasi ya bure mnajishebedua kuuliza vigezo! Wanawake mtamaliza makanisa kuombewa lakini gonjwa liko pale pale!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha aisee

brain is the beautiful part of the body.
 
Utapata usijali....kuna yule dada nae anatafuta kweli....hadi leo amesema heti ana gundu na kwamba ameweka tangazo la mwisho.

Hebu check nae...mana inaelekea yupo very serious
 
Mkuu ukipata wa ziada nipatie mmoja nimechoka huu upweke huu wiki ya pili hii napoteza mdaa kwenye Uzi wa likes tuu.
 
Haha huvioni? Ngoja nikuoneshe!

1.matured age
2.hata asipokuwa na kazi
3.awe tayari kuwa mke.

Me naandaa mchango wa harusi tafadhari usituangushe hehehe!



brain is the beautiful part of the body.
Hahaha we shilawadu upo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…