Am soooo tired of being lonely

Nimekupenda sana RR, umemjibu Kibali vizuri sana. Maneno yako yamenigusaaaa. Kazi kwako Kibali kuyafanyia kazi ni ushauri mzuri mno.

Mimi ni mgeni hapa JF,naomba tu kujua wewe RR ni Female or Male??? Asante
 
Lol Lol....The Boss wewe ni mwishoooo umenivunja mbavu zangu hapa!!!!! Hii kiboko.....
 
Natafuta kama wewe,niko serious ni pm tuone iko vpi,relax soon u will be so happy
 
Ameeeen Evarm....ni kweli kabisa Kibali,mm bado naendelea kusoma hizi comment mpaka nifike mwisho. Kwa umri sio kwamba ni mdogo sana ila usiji stress yani wewe jiachie tu ukiwa unawaza kila saa haitakusaidia zaidi ya kujichukia na kuanza kujiuliza maswali mengi ya ajabu ambayo yatakupelekea ufanye uamuzi usiokuwa wa busara.
Mm ni ke sina bwana na kwa umri nimekupita kidogo(according to 28-32) ila kwakweli siwezi kuji stress sbbu hiyo even though kuna muda huwa nakuwa down vibaya sana kwa kuwa lonely but it wont take me 3 consecutive days kuwa na masikitiko hayo.......life is just too damn short mpenzi utajiumiza bureee,amini kuwa Mungu wetu aliyemwema amekuwekea mtu wako na muda ukifika utashangaa hata mtakavyokutana. Cha msingi ni kusali mdogo wangu hakuna kitu kizuri kama sala.
 
Una hakika gani kwamba wewe ni mzuri katika vilivyotajwa na vingine vingi.

Na je, unadhani ni kwa nini hupati wa kukuliwaza hadi kufikia kuwa mpweke hivyo?

FA,

Nafikiri tunashindwa kutofautisha kati ya uzuri na attraction. Mwanamke anaweza akawa mzuri sana lakini sio attractive kwa wanaume. Pia mwanamke anaweza akawa mzuri sana lakini akashindwa kuutumia huo uzuri ku attract wanaume. Vitu vingi sana vina attract wanaume; sio uzuri tuu, unless the man is looking for a trophy woman.

Wanaume wanakuwa attracted na uzuri wa mwanamke lakini sio wanaume wote wanakuwa attracted na wanawake wazuri. Beauty is to attraction what skill is to work and what talent is to effort. Kwa maana nyingine beauty is power lakini itategemea mwanamke atatumia hiyo power kivipi ku attract mwanaume. If you have power but you don't use it to conquer then that is weakness. Having the power bila kuitumia pia ni abuse.

Tafiti zinaonyesha kuwa wanawake wengi wazuri wanaboa kwa sababu hawana personality. Kwa sababu ni wazuri most of them wana assume automatically kuwa watawavutia wanaume. So, they don't bother to develop their personalities. Kwa wanawake ambao sio wazuri, wana tabia ya ku develop their personality ili kuvutia wanaume.

Beauty is something appealing and that is it. Beauty can be appreciated in that regard, but attraction is so much more than that. Attraction is being drawn to something, wanting to be a part of something, wanting to share what you are with what it is. Just because someone is beautiful doesn't mean she is attractive and just because someone is attractive doesn't mean her beautiful.
 
sisi hushawshka kwa kuona...jicho ni dirisha la moyo...ukimpiga men jicho la udadisi/ushawishi mara kwa mara naye akaliona...atavutika tu,atahisi unamfananisha..then... unamzimia lazima akutokee kukupa 'hujambo' ukijumlisha na ushauri wa russian..

asante Moria nitalifanyia kazi maana nimekuelewa sasa
 
Kibali, kuna mtu aliuliza kama unafahamu tofauti ya uzuri na mvuto (attractiveness).....na kama ujuavyo vyote vinategemea mtu na mtu,

kaizer umeongea neno!hapo kny mvuto naona kuna matter,hivi huu mvuto unajumuisha mambo yepi?
 
Mkuu EMT umeongea maneno makuu sana yamenigusa,yawezekana kabisa kuwa kuna mahali nakosea nimejifunza kitu kupitia hilo,nahitaji kujua zaidi hizo skills za kuattract tafadhali
 
Nimekupenda sana RR, umemjibu Kibali vizuri sana. Maneno yako yamenigusaaaa. Kazi kwako Kibali kuyafanyia kazi ni ushauri mzuri mno.

Mimi ni mgeni hapa JF,naomba tu kujua wewe RR ni Female or Male??? Asante

Mama Tuli RR amenigusa sana Mungu ambariki,pia Mama Tuli nimesoma comments zako umenifariji na nimejifunza kitu ambacho nitakifanyia kazi,mimi na wewe tuzidi kumuomba Mungu kweli hatatuacha
 
kaizer umeongea neno!hapo kny mvuto naona kuna matter,hivi huu mvuto unajumuisha mambo yepi?

Mkuu EMT umeongea maneno makuu sana yamenigusa,yawezekana kabisa kuwa kuna mahali nakosea nimejifunza kitu kupitia hilo,nahitaji kujua zaidi hizo skills za kuattract tafadhali

Nadhani umemsoma EMT nilikuwa namaanisha ivo ivo.....
 
kwanza pole sn najua unachopitia mana na mm nilipita huko, kwanza jipende mana huwezi kupendwa kabla hujajipenda, usijizile, keep urself busy na vitu unavyojipenda, go out with friends have fun, na jaribu kupata marafiki wapya, socialize more, then tambua kwamba wewe ni wa thamani na Mungu alikuleta dunia kwa makusudi si kwa bahati mbaya hivyo basi mpango wake kwako utatimia wakati wake ukifika, usikubali kuwa desperate utafanya maamuzi yasiyo sahihi mana akitokea mmoja na ambaye si sahihi utamkubali just b'se u r desperate, jiamini na muombe Mungu atakupa ur heart desire, there is someone for everyone
 
FA,

... wanawake wengi wazuri ... most of them wana assume automatically kuwa watawavutia wanaume...

Spot on.

Nadhani Kibali atakuwa amekupata vyema, uzuri si kila kitu.

@ Kibali: Kutokuwa katika mahusiano sio mwisho wa maisha, it might be a disguised blessing.
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…