Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
...ukimpata utafanyaje?...
Mbinu za kutafuta mwenza nyingi, na hii ni ya Kibali ni mojawapo may be.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...ukimpata utafanyaje?...
Una hakika gani kwamba wewe ni mzuri katika vilivyotajwa na vingine vingi.
Na je, unadhani ni kwa nini hupati wa kukuliwaza hadi kufikia kuwa mpweke hivyo?
sisi hushawshka kwa kuona...jicho ni dirisha la moyo...ukimpiga men jicho la udadisi/ushawishi mara kwa mara naye akaliona...atavutika tu,atahisi unamfananisha..then... unamzimia lazima akutokee kukupa 'hujambo' ukijumlisha na ushauri wa russian..
Nimekupenda sana RR, umemjibu Kibali vizuri sana. Maneno yako yamenigusaaaa. Kazi kwako Kibali kuyafanyia kazi ni ushauri mzuri mno.
Mimi ni mgeni hapa JF,naomba tu kujua wewe RR ni Female or Male??? Asante
kaizer umeongea neno!hapo kny mvuto naona kuna matter,hivi huu mvuto unajumuisha mambo yepi?
Mkuu EMT umeongea maneno makuu sana yamenigusa,yawezekana kabisa kuwa kuna mahali nakosea nimejifunza kitu kupitia hilo,nahitaji kujua zaidi hizo skills za kuattract tafadhali
Hapa ndipo wanawake wanapojidanganya/wanapodanganywa na either:unajijuaje kwamba wewe ni mzuri?????????
FA,
... wanawake wengi wazuri ... most of them wana assume automatically kuwa watawavutia wanaume...