Am soooo tired of being lonely

Am soooo tired of being lonely

Mungu akufute machozi yako. Kama alivyompa Isaka Rebeka basi akupe nawe haja ya Moyo wako ili furaha yako iwe timilifu.... Tia bidii kumwomba Mungu aongeze wepesi kwa huyo anaye kufaa ambaye wewe u nyama na mfupa wake...
RR, am impressed by your honest concern and opinion about this issue.

Kibali, nakuombea dua yako ipate Kibali machoni pa Bwana....umpate umpendaye. Amen.
 
Wadau wa jukwaa tukufu la MMU, upweke ni kitu kibaya sana wapendwa! Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu lkn sijabahatika kupata wa kuniondolea upweke,natamani nipate mtu anipende nami nimpende,aniambie i miss u,i love u,nakuhitaji,anipe maneno matamu ya mahaba,sijawahi kupata,niliyewahi kuwa nae ilikuwa sawa na sina mpenzi!simu mpaka nipige mimi,msg niandike mimi vinginevyo atanyamaza hata wiki!am so desparate nahitaji counselling au msaada niondokane na hii hali tafadhali.
Ni PM uniandikie no yako ya cm nitakuelezea siri nzito sana iliyoko kwene moyo wangu. Hakika utaifurahia.
 
Dada yangu mpendwa Kibali sitaki kusema mengi maana RR ameyasema sana so zingatia ushauri. Raha jipe mwenye, mathalan mim mwenyewe nilisumbuliwa sana na hali kama hiyo nkajiuliza sana na kuumia hasa pale unakosa hata mtu wa kukupa pole, kukupa raha, kufariji, na mambo mengine mengi nikajiona mm ni wa chini sana so nikawa na mawazo sn nikaanza kutuma hata barua lkn namshukuru Mungu wote niliowatafuta no response so namgoja bwana pekee wengine uzushi 2. Najipa raha kwa kufurahia jf hapa mwisho wa brake akija na aje 2.. Jipe raha umshinde ibilisi
Wadau wa jukwaa. tukufu la MMU, upweke ni kitu kibaya sana wapendwa! Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu lkn sijabahatika kupata wa kuniondolea upweke,natamani nipate mtu anipende nami nimpende,aniambie i miss u,i love u,nakuhitaji,anipe maneno matamu ya mahaba,sijawahi kupata,niliyewahi kuwa nae ilikuwa sawa na sina mpenzi!simu mpaka nipige mimi,msg niandike mimi vinginevyo atanyamaza hata wiki!am so desparate nahitaji counselling au msaada niondokane na hii hali tafadhali.
 
Hus! Sio wote wamewahiwa bali kama mim mkulima wadada wa jf siwawezi na najua hawawezi kuja kwetu mpwapwa. Aidha wapo wengi humu wanaomba msaada na kutafuta wenza.
hivi wakaka wa jf wote mshawahiwa eeh?
 
umeona eeh? ningekuwa jogoo jogooooooooo..................................................

Dah! Husninyo 🙂🙂🙂 umenichekesha kweli hahahahahah lol! ungechangamka siyo!? hahahahaha
 
Mungu akufute machozi yako. Kama alivyompa Isaka Rebeka basi akupe nawe haja ya Moyo wako ili furaha yako iwe timilifu.... Tia bidii kumwomba Mungu aongeze wepesi kwa huyo anaye kufaa ambaye wewe u nyama na mfupa wake...

amina mtu wa Mungu,asante kwa maombi ubarikiwe sana
 
Dada yangu mpendwa Kibali sitaki kusema mengi maana RR ameyasema sana so zingatia ushauri. Raha jipe mwenye, mathalan mim mwenyewe nilisumbuliwa sana na hali kama hiyo nkajiuliza sana na kuumia hasa pale unakosa hata mtu wa kukupa pole, kukupa raha, kufariji, na mambo mengine mengi nikajiona mm ni wa chini sana so nikawa na mawazo sn nikaanza kutuma hata barua lkn namshukuru Mungu wote niliowatafuta no response so namgoja bwana pekee wengine uzushi 2. Najipa raha kwa kufurahia jf hapa mwisho wa brake akija na aje 2.. Jipe raha umshinde ibilisi

asante sana,kweli RR amefanya kazi kubwa wewe pia,mpaka sasa niko tofauti sana na jana,am no longer desparate nina amani sana sasa hivi
 
hahahah, mnaogopa vibibi eeh. huyo mdada amesema yupo between 28 and 32.

Husninyo mpendwa,sijaweka thread kutafuta bwana ila nimeomba ushauri na kwa hakika Mungu ametumia watu baadhi kwenye hii thread kuniambia mambo makuu sana,naomba nisieleweke kuwa natafuta bwana bali nimeshare experience ya maisha ninayopitia ili nipate ufumbuzi,naamini JF ni kila kitu na ukweli nimesaidika nilivyokuwa jana si nilivyo leo.Asante
 
Ala hata kama unataka bwana kuna ubaya gani? hivi hivi mwishowe utapata deal, jipe moyo na jiamini binti.
 
Hus! Sio wote wamewahiwa bali kama mim mkulima wadada wa jf siwawezi na najua hawawezi kuja kwetu mpwapwa. Aidha wapo wengi humu wanaomba msaada na kutafuta wenza.

we kwenu mpwapwa? kesho nitakuja kukusalimia.
 
Husninyo mpendwa,sijaweka thread kutafuta bwana ila nimeomba ushauri na kwa hakika Mungu ametumia watu baadhi kwenye hii thread kuniambia mambo makuu sana,naomba nisieleweke kuwa natafuta bwana bali nimeshare experience ya maisha ninayopitia ili nipate ufumbuzi,naamini JF ni kila kitu na ukweli nimesaidika nilivyokuwa jana si nilivyo leo.Asante

nimekuelewa mpenzi wangu ila mchumba anaweza patikana hata humu wala usihofu.
 
Wadau wa jukwaa tukufu la MMU, upweke ni kitu kibaya sana wapendwa! Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu lkn sijabahatika kupata wa kuniondolea upweke,natamani nipate mtu anipende nami nimpende,aniambie i miss u,i love u,nakuhitaji,anipe maneno matamu ya mahaba,sijawahi kupata,niliyewahi kuwa nae ilikuwa sawa na sina mpenzi!simu mpaka nipige mimi,msg niandike mimi vinginevyo atanyamaza hata wiki!am so desparate nahitaji counselling au msaada niondokane na hii hali tafadhali.

Pole sana mrembo,unakiwa ugeuze huzuni kuwa furaha.pia usisahau kuna watu wanaokupenda bila masharti,bila kujali wapi au wakati gani. Kikubwa ambacho unachohitaji kukifanya, ni kuonyesha jinsi gani ulivyo katika hatua za mwanzo za mahusiano. Hii itakusaidia kujua mpenzi wako mapungufu na wema wako. Kwani hakuna kidhibiti cha kiasi cha mapenzi unachotakiwa kutoa, acha yajionyeshe.
 
asante kipis nashukuru kwa mawaidha,hii thread imenisaidia sana am very ok now and comfortable
 
Back
Top Bottom