Am sorry my baby Wa jf! Moneytalk!!

Am sorry my baby Wa jf! Moneytalk!!

Alivyokuwa anajimwagia sifa tuu.... Kumbe kuna mrembo alikuwa analia nyuma ya keyboard....
Mpe salamu shunie alimchomchochea aniache
59f4c48ffef87a9c8017df121cad5cb2.jpg


DJ sepetu
 
Huyo moneytalk ana kazi ya ziada.... Afadhali ungekaa kimyaaaa tu mkuu... Hamna mwanamke anaependa kusikia past ya mpenzi wake milele!!!! Tena mieee ukisimulia tuu nakuacha sa hiyo hiyo....


Polee eeehh
Pole hainiletei my girl we ongea nae

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom