Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Baada ya masaa matatu mambo yatakuwa sawa ashaanza kunielewa lakin niko naye ghetoSasa unaongea ka mwanaume!
Kumbuka Leo kwangu kesho kwako!
DJ sepetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya masaa matatu mambo yatakuwa sawa ashaanza kunielewa lakin niko naye ghetoSasa unaongea ka mwanaume!
Kumbuka Leo kwangu kesho kwako!
DJ sepetu
Huyo moneytalk ana kazi ya ziada.... Afadhali ungekaa kimyaaaa tu mkuu... Hamna mwanamke anaependa kusikia past ya mpenzi wake milele!!!! Tena mieee ukisimulia tuu nakuacha sa hiyo hiyo....Acha kufukua makaburi sakayo
Huo uchochezi tu!
DJ sepetu
Kabisaa auntie.... Kuna wanawake wana kazi kweeeliNa wewe nawe too much sasa!!!
Pole hainiletei my girl we ongea naeHuyo moneytalk ana kazi ya ziada.... Afadhali ungekaa kimyaaaa tu mkuu... Hamna mwanamke anaependa kusikia past ya mpenzi wake milele!!!! Tena mieee ukisimulia tuu nakuacha sa hiyo hiyo....
Polee eeehh
Sikuisoma hiyo interview wala sikujua kama kafanyiwa usaili ila with the dramas he has in here hata huyo mwanamke ana moyo.Kabisaa auntie.... Kuna wanawake wana kazi kweeeli
Kuna mambo ya kujishaua siyo yale ndugu....kujishaua tu kulimponza
I hope kwakuwa ni drama boy, this is also among of his dramas.Kabisaa auntie.... Kuna wanawake wana kazi kweeeli
Alimshauri vyema.... Haiwezekani bhanaa umuumize vile bhanaaMpe salamu shunie alimchomchochea aniache![]()
DJ sepetu
Mwenzenu anaona sifa, na sidhani kama kuna la ukweli lolote hapa!Kuna mambo ya kujishaua siyo yale ndugu....
kabisa hasa ukijua unakiota humuKuna mambo ya kujishaua siyo yale ndugu....
Mie siweziiii mshauri arudi kabisaa.... Pale uliposema unatumia mtandao pendwa baaasii nilichoka.....Pole hainiletei my girl we ongea nae
DJ sepetu
Hapana hata mimi cant be yo dota. Na uachwe tu.Nisaidie my daughter!
Baba ako naachwa!
DJ sepetu