Ama hakika Injinia Hersi anajua sana kucheza na Akili za Wanayanga 'Oya Oya' wengi na anawapeleka vile atakavyo!!

Ama hakika Injinia Hersi anajua sana kucheza na Akili za Wanayanga 'Oya Oya' wengi na anawapeleka vile atakavyo!!

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Injinia Hersi bhana yaani baada ya kuona Mashabiki wa Yanga SC sasa wanaanza 'Kukumaindi' kwa Ahadi yako kuwa Yanga SC isipokuwa Bingwa Msimu huu uulizwe Wewe leo umeamua uyageuze Mawazo yao na Wao walivyo Oya Oya ( Mazwazwa ) wamekuelewa.

Tayari Injinia Hersi ameshaandaa Jibu kama akihojiwa kuhusu hiyo Kauli yake ya kuwapa 'Matumaini' hewa Wanayanga 'Oya Oya' wengi ambapo atawajibu kuwa Timu ilikuwa inajengwa na sasa kapatikana Kocha sahihi na wa Vikombe Nasreddine Nabi 'aliyesinya' Kandarasi ya mwaka Mmoja na Yanga SC leo.

Labda Generalist leo nimtolee tu Uvivu Injinia Hersi kwa kumwambia kuwa Simba SC itaendelea kuwa Bingwa nchini Tanzania na kama Yanga SC ikitaka kuwa vizuri waondoe 'Virusi' Watatu ( tena walio jirani na Uongizi na Wachezaji ) ambao 'Mnyama' kawapachika huko.

Yanga SC jitahidini sana leo Mshinde dhidi ya Gwambina FC ( japo upo pia Uwezekano msipokuwa makini mkatoka nao Sare au hata mkafungwa nao ) kwani kwa 'Umafia' ambao Generalist Mimi nashiriki iwe isiwe Jumamosi ukicheza na Azam FC ( Simba SC B ) unafungwa Goli 3 na baadae tarehe 8 May, 2021 unaenda kupata Kipigo cha 'Shalubela' kutoka kwa Simba SC.

Ninamhurumia Nabi kuwahi kuja Yanga.
 
Hersi anaamini mpira ni kelele anawaaminisha na hao kandambili, atakimbia Yanga mwenyewe na GSM yake atakapogundua mpira ni uwekezaji wa pesa sio maneno.
 
Back
Top Bottom