Winga ya Kushoto Emanuel Okwi, Winga ya Kulia Bernard Morisson, Central Striker Justine Shonga na chini yao kuna Clatous Chama Mwamba.
Kuna Watu Kipindi hiki cha Mapumziko ya CORONA walikuwa wakitamba sana na Usajili sasa ndiyo mtatujua vyema hasa Simba SC ya Mo Dewji.
Kuna mchezaji umemtaja hapo...subiri matusi ya wadau fulani hivi [emoji16][emoji16][emoji16] wakiongozwa na Shadeeya
bado manataka kuendelea kusajili mababu??? hivi hamuweze kutengeneza team yenu nyie kwa faida ya miaka 5 mbele!
yaani mnamuota OKWI, pia MORISSON duu
Shadeeya ni shabiki mstaarabu nampenda japo yupo team ya wazee wa mabakuliKuna mchezaji umemtaja hapo...subiri matusi ya wadau fulani hivi [emoji16][emoji16][emoji16] wakiongozwa na Shadeeya
Hivi Okwi wa nini bosi?Mbona umeumia / unaumia mno Ndugu? Hivi kumbe Yanga SC Kwenu huko hakuna Wazee kabisa tena ambao wanawazidi hawa uliowataja hapa?
ameshachelewa alikuwa anajua ana mkataba wa miezi sita wakatoa picha bosheni za kuongeza mkatabaYaani Morrison aje Simba, hapo GSM hatakubali atafurukuta hata million Mia tano atatoa,