Ama hakika Simba Sports Club ya Msimu wa 2020 / 2021 itakuwa ni ile ya Tema Mate Kushoto kisha Unafukia Kulia na Raha tupu tu!

Ama hakika Simba Sports Club ya Msimu wa 2020 / 2021 itakuwa ni ile ya Tema Mate Kushoto kisha Unafukia Kulia na Raha tupu tu!

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
Winga ya Kushoto Emanuel Okwi, Winga ya Kulia Bernard Morisson, Central Striker Justine Shonga na chini yao kuna Clatous Chama Mwamba.

Kuna Watu Kipindi hiki cha Mapumziko ya CORONA walikuwa wakitamba sana na Usajili sasa ndiyo mtatujua vyema hasa Simba SC ya Mo Dewji.
 
bado manataka kuendelea kusajili mababu??? hivi hamuweze kutengeneza team yenu nyie kwa faida ya miaka 5 mbele!

yaani mnamuota OKWI, pia MORISSON duu

Kuna mchezaji umemtaja hapo...subiri matusi ya wadau fulani hivi [emoji16][emoji16][emoji16] wakiongozwa na Shadeeya

Wakati huyo Member uliyemtaja hapa na kusema kuwa atakuja Kunitukana ajue tu ya kwamba tayari kwa 90% 2020 / 2021 anaichezea Simba SC.
 
bado manataka kuendelea kusajili mababu??? hivi hamuweze kutengeneza team yenu nyie kwa faida ya miaka 5 mbele!

yaani mnamuota OKWI, pia MORISSON duu

Mbona umeumia / unaumia mno Ndugu? Hivi kumbe Yanga SC Kwenu huko hakuna Wazee kabisa tena ambao wanawazidi hawa uliowataja hapa?
 
Yaani Morrison aje Simba, hapo GSM hatakubali atafurukuta hata million Mia tano atatoa,
 
Bado mnamwota morison safi sana mikia kwa kumkumbuka mwamba yule
 
Morrison mkataba Yanga umeisha June 05. Sasa endeleeni na kelele ndio maana kagoma kwenda Shinyanga na simu kazima.
 
Back
Top Bottom