Ama kwa hakika, jamaa aliye kwenye hii gari anakula maisha sana

Yani Kwanza jamaa unaonekana hela ipo, demu mkali anae, halafu demu mwenyewe bado mdogo Mali mpya kabisaaaaa.

Na demu mwenyewe yupo romantic kuliko mademu wengi Sana hapa nchini

Natamani wanawake wengine mngekua kama huyu
Wanawake ukiona mwanaume wa design hizi kitu sio kitu teyari anakurekodi hiyo ni red alert..

huyu ashindwi kukuchukua video za utupu wako na akarusha mtandaoni.

Imagine baba au kaka za huyo dada wanajisikiaje huko walipo.
 
Halafu unakuta kuna kijana wa watu mlokole hajui hili wala lile atamkuta na bikra huyo ataoa kwa sherehe.

Akitoka honeymoon atakuja na mahubiri humu msioe asiye na bikra wala single mother.
 
Kwanza Umejiandikisha?

Kujiandikisha ni haki yako ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…