Sina Ndugu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2024
- 378
- 604
Hakika mkuu.Yaani hapo umemaliza kila kitu jijali , jipende wewe mwenyewe isije stress na kiumbe kingine Kama sio Tu watoto wako au wazazi.
Seriously? Hii ni severe depression, pessimism disorder au nihilism? Ni kivipi hii scenario moja iwe universal reason ya watu ku-execute huo ushauri wako?Poleni sana wafiwa. Ndio maana kila siku nawakumbusha acheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za ENGLISH MEDIUM maisha yenyewe ndio hayo hayo. Haya sasa twende kazi, haraka sana kimbia watoe watoto wako shule za English Mediums warudishe Kayumba. Utakuja kunishukuru
Hakuna,Huko wanakolipwa hela ya kunywa usiku mmoja kwa kivuli Cha private boss ?
Njoo mtaani ukione kizazi Cha wasomi kinavyoteseka ,amka ndotoni uione dunia mpya ya jasho na pesa .