Ama kwa hakika maisha hayana maana kabisa

Poleni sana wafiwa. Ndio maana kila siku nawakumbusha acheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za ENGLISH MEDIUM maisha yenyewe ndio hayo hayo. Haya sasa twende kazi, haraka sana kimbia watoe watoto wako shule za English Mediums warudishe Kayumba. Utakuja kunishukuru

Mtu ana degree ya medicine ila anaendesha bajaj ndio apate chakula.

Baba yake angekuwa amewekeza na ana rasilimali za kutosha angempa zake mtaji akafungue dispensary yake
 
Kabisa mkuu. Huwezi kuwekeza kwenhe rasilimali kama pesa yote inaishia kwenye ada. Tunawaiga viongozi kusomesha shule za gharama lakini wenzetu wanasomesha shule za gharama kwa hela za wizi sio hela za halali.
 
Pumzika kwa amani Comrade, Njia yetu ni moja!
 
mdau we acha kabisa , watu tunajua mavituz sema pa kuyatemea ndio changamoto+muda. Huyo jamaa kwenye huo mchezo wa kuigiza wa macbeth alitisha sana. Waingereza wenyewe wanamhusudu balaa.
Jamaa kwa uandishi wake kuna wanaodai hakuwa yeye. maana jamaa ametumia misamiati ya kiingereza kuliko mtu yeyote, ameongelea dunia kama alikuwa traveller wakati alikuwa common man. Nimesoma vitabu vyake vingi kwa sababu mzee wangu alikuwa na maktaba na alikuwa mpenzi sana wa plays za jamaa.
 
Kuna fundi gereji tunamtumiaga ofisini kwa issue za magaru, jana kapata ajali ya bodaboda hulo kigamboni kavunjika mguu
 
Yan umemaliza MD unaamua kujishikiza kwenye bajaji?

Jamaa hakuwa serious
Sio kila mtu ana access na connections au kishikwa mkono na ndugu na jamaa zenu wakuu wa mihimili, wengi wa wahitimu hawana hiyo nafasi
Jirani yangu kuna binti ana degree yake ya udsm saa hizi anajifunza cherehani, unaweza kutoa chozi!
 
Ukikaa na kukiwazia kifo utayaona maisha ya dunia hayana maana......ishi leo, furahia leo, fanya ibada leo maana kesho ni FUMBO.....hata tuliowasindika kwenye safari yao ya mwisho hawakujua kuwa siku hiyo ndio ilikuwa siku yao ya mwisho.........

Huwa nashangaa mtu anajipa dhiki kwa kuwazia maisha ya miaka kumi ijayo hali ya kuwa hana uhakika hata wa kuiona kesho.......
 
Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajira, akaamua ajishikize kwenye Bajaj, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaj yake kugongana na coaster.

Mwamba akalala mazima. Ooh maisha nini ni sasa? Harakati zote na ndoto zote zimekwisha. Its too sad indeed.
Kila kitu tunachofanya ni harakati za kukitafuta kifo,,maisha ya mwanadamu ni hadithi tu
 
Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajira, akaamua ajishikize kwenye Bajaj, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaj yake kugongana na coaster.

Mwamba akalala mazima. Ooh maisha nini ni sasa? Harakati zote na ndoto zote zimekwisha. Its too sad indeed.
Aluta Continua
 
Mwamba amekufa kishujaa akiwa kwenye vita vikali.

Alale salama
 
Kuna vifo vinatokea kwa sababu tu upo Afrika...
 
Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajira, akaamua ajishikize kwenye Bajaj, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaj yake kugongana na coaster.

Mwamba akalala mazima. Ooh maisha nini ni sasa? Harakati zote na ndoto zote zimekwisha. Its too sad indeed.
Surat Al-Imran, Ayah 185:

"Kila nafsi itaonja mauti. Na mtalipwa ujira wenu kamili Siku ya Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na kuingizwa Peponi, basi huyo amefuzu. Na uhai wa dunia si chochote ila ni starehe ya udanganyifu."
 
Poleni sana wafiwa. Ndio maana kila siku nawakumbusha acheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za ENGLISH MEDIUM maisha yenyewe ndio hayo hayo. Haya sasa twende kazi, haraka sana kimbia watoe watoto wako shule za English Mediums warudishe Kayumba. Utakuja kunishukuru
Wrong comment at the wrong thread. RIP MD.Poleni wafiwa
 
Jamaa kwa uandishi wake kuna wanaodai hakuwa yeye. maana jamaa ametumia misamiati ya kiingereza kuliko mtu yeyote, ameongelea dunia kama alikuwa traveller wakati alikuwa common man. Nimesoma vitabu vyake vingi kwa sababu mzee wangu alikuwa na maktaba na alikuwa mpenzi sana wa plays za jamaa.
Inawezekana ni kweli, maana kuna kitabu fulani hivi niliwahi kisoma, kinadai pia williama shakespeare hajawahi ku exist popote uingereza. Japo sikuitilia sana maanani hii habari.
 
Speech ya Mark Antony, ile ya "Friends, Romans, countrymen, lend me your ears" ile ndo one of the best speech katika plays zangu.
Jamaa alianza kama anawasifu kumbe anawakandia, mwishowe akafanya raia waliokuwa wanawasupport wawageuke kwa kumuua Ceaser.
 
Fumbo zito kivipi?

Mbona husemi kuzaliwa ni fumbo zito?

Kufa ni kawaida wala hakuna cha fumbo zito wala nini.

Sasa kama watu hawafi, Hii dunia ingetosheleza kuwa na makazi ya watu wote mabilioni kwa mabilioni?
Lingelikuwepo suala la kutokufa, Mwenyezi angeliumba dunia kivingine.

Kifo ni fumbo ndiyo, ni tofauti na kuzaliwa.

Kuzaliwa siyo fumbo kwa sababu dalili za muda mrefu huonekana, lakini kifo zaweza kuwepo dalili ama kutwaliwa ghafla bila kuonesha viashiria.
 
Back
Top Bottom