Poleni sana wafiwa. Ndio maana kila siku nawakumbusha acheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za ENGLISH MEDIUM maisha yenyewe ndio hayo hayo. Haya sasa twende kazi, haraka sana kimbia watoe watoto wako shule za English Mediums warudishe Kayumba. Utakuja kunishukuru
Mtu ana degree ya medicine ila anaendesha bajaj ndio apate chakula.
Baba yake angekuwa amewekeza na ana rasilimali za kutosha angempa zake mtaji akafungue dispensary yake