Ama kweli Ali Kiba anatisha, Kapokelewa kama Rais huko Masasi Mtwara

Nyie vitimbakwiri acheni ujinga . Hivi mnajua maana ya "burudani" ? Ushabiki wa kingese! Team aly k team diamond ujinga mtupu. Naona mumetukanana kule
jukwaa la celebrity mkachoka mkaona muhamie huku?
Nyambaff zenu!!
 
Ahsante Sana Mkuu
Umelenga Panapofaa
 
Nyie vitimbakwiri acheni ujinga . Hivi mnajua maana ya "burudani" ? Ushabiki wa kingese! Team aly k team diamond ujinga mtupu. Naona mumetukanana kule
jukwaa la celebrity mkachoka mkaona muhamie huku?
Nyambaff zenu!!

Unaelewa Maana Ya Habari/Hoja Mchanganyiko Wewe?
 
Wakuu Kiba yuko masasi mkoani mtwara kapokelewa kama Rais ni hatari sana jamaa anatisha mtu nyomi haijawah tokea.

Nilisafiri na Ali Kiba kwa ndege ya ATC jana mchana kuja Mtwara. Pale airport kulikuwa na waendesha bodaboda kama 10 hivi na abiria wao, na magari kama 4 hivi yaliyokuja kumpokea. Lakini baadaye nikasikia amepokelewa na "nyomi" ya watu. Masasi sikuwepo, ila sitashangaa kama nitaambiwa nyomi ya Masasi maana yake ni kundi la watu 30!!
 
kila siku kiba kiba,mi si shabiki wa kiba wala diamond lakini nasema mashabiki wa kiba bora wangemshabikia mwingine
 
kiba zama zake zilipita kweli alitingisha ni sawa na kumsifia muumini mwinjuma na kumshusha christian bella wakati huu.
 
Ali kiba toka aanze kudhani anaweza kumzidi au kujifananisha na diamond nimeacha kuwa shabiki wake na namuona mjinga sana. Aiwezekani mbingu na dunia zifanane

Usikute hata hujawahi kuwa shabiki wake..
 
Wakuu Kiba yuko masasi mkoani mtwara kapokelewa kama Rais ni hatari sana jamaa anatisha mtu nyomi haijawah tokea.

Mkabidhi dada yako basi!..hizi jaribu kupeleka Uzi wako kule facebook na insta ndio kwa washika pumbu wenzio.:banghead:
 
Unanunua msshabiki ili upande chati?Ni kazi nzuri pelee itakayokupandisha chati na si zomea kwa wapinzani wako.
 
Hahaaaaaa umenichekesha sana
 
kaazi kweli kweli mtu akisifiwa wengine mwatoka povu
mlitaka asipokelewe muanzishe uzi wa majungu
haooooooooo mmmefuliaaaa
hiyoooo ndo ashapokelewa
ptuuuu mlie mmcheke,mnune,mkasrike wapiiii
ht km zama zimepita ya kale hayanuki na dhahabu pia!!!
kina MADONA,JIGGA,R.KELY ,LIONEL RICHIEPAKA KESHO wanaperfom sembuse kibaa
haoooooooo!!!hamna lolote mmeishiwa nyie,
hamna nyimbo,
hamna mambo,
wala michambo na vijambooo
mmebaki gggggggggaaaaaaaaaah!!!
 
Mkabidhi dada yako basi!..hizi jaribu kupeleka Uzi wako kule facebook na insta ndio kwa washika pumbu wenzio.:banghead:
Mmmh! mkuu haya maneno haya, yaani amkabidhi dada yake ili aliwe kwich kwich na Ally kiba????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…