Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una ushahidi kuwa anajifananisha na diamond? Lini na wapi alisema kuwa yeye anafanana na diamond? Msiwe mnakurupuka kulopoka bila uthibitisho... mashabiki mandazi wawagombanishe wewe umbebee bango kiba kuwa ndo kasema??? Vp na diamond aliyesema atamsaidia kiba hiyo kauli uliichukuliaje? Kwa taarifa yako Kiba hana tatizo lolote na Diamond na amenukuliwa sehemu mbalimbali akisema kuwa anazikubali kazi Diamond sasa kosa lake liko wapi? Nyambaffff.
Nyie vitimbakwiri acheni ujinga . Hivi mnajua maana ya "burudani" ? Ushabiki wa kingese! Team aly k team diamond ujinga mtupu. Naona mumetukanana kule
jukwaa la celebrity mkachoka mkaona muhamie huku?
Nyambaff zenu!!
Tafadhali Kiba ni nani huyu!?
Wakuu Kiba yuko masasi mkoani mtwara kapokelewa kama Rais ni hatari sana jamaa anatisha mtu nyomi haijawah tokea.
Ali kiba toka aanze kudhani anaweza kumzidi au kujifananisha na diamond nimeacha kuwa shabiki wake na namuona mjinga sana. Aiwezekani mbingu na dunia zifanane
Wakuu Kiba yuko masasi mkoani mtwara kapokelewa kama Rais ni hatari sana jamaa anatisha mtu nyomi haijawah tokea.
#teamlips una shida sana ww , jinyonge the King is back
Nilisafiri na Ali Kiba kwa ndege ya ATC jana mchana kuja Mtwara. Pale airport kulikuwa na waendesha bodaboda kama 10 hivi na abiria wao, na magari kama 4 hivi yaliyokuja kumpokea. Lakini baadaye nikasikia amepokelewa na "nyomi" ya watu. Masasi sikuwepo, ila sitashangaa kama nitaambiwa nyomi ya Masasi maana yake ni kundi la watu 30!!
ali kiba ndo nani?
Mmmh! mkuu haya maneno haya, yaani amkabidhi dada yake ili aliwe kwich kwich na Ally kiba????Mkabidhi dada yako basi!..hizi jaribu kupeleka Uzi wako kule facebook na insta ndio kwa washika pumbu wenzio.:banghead: