M mwasu JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 10,161 Reaction score 11,536 May 3, 2016 #41 Kuwa mzungu ni sifa au kichekesho? Nisije kucomment wakati sijui uzungu ni nini.
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,258 Reaction score 20,386 May 3, 2016 #42 Nini kipya sasa hapo?? Uzungu ndo nini na faida zake ni nini?
yomboo JF-Expert Member Joined May 9, 2015 Posts 6,225 Reaction score 4,898 May 3, 2016 #43 danya said: Katika hali isiyo tarajiwa na wengi hatimaye Diamond platnumz amempost na kumuwish Happy B day mtoto wa kufikia mtoto wa Zari bila kinyongo kabisa! Wanaume inabidi kuiga mfano huu na kuacha Vinyongo pamoja na Biti zote anazochimbwa na Ivan! Click to expand... Babu we mbea sana sasa uzungu ndo nini Kazi yako kumfolow huyo anaejiita dimond wenzako wanawaza watapata wapi mtaji wafungue kiwanda cha kutengeneza ndege Keep on gossiping man
danya said: Katika hali isiyo tarajiwa na wengi hatimaye Diamond platnumz amempost na kumuwish Happy B day mtoto wa kufikia mtoto wa Zari bila kinyongo kabisa! Wanaume inabidi kuiga mfano huu na kuacha Vinyongo pamoja na Biti zote anazochimbwa na Ivan! Click to expand... Babu we mbea sana sasa uzungu ndo nini Kazi yako kumfolow huyo anaejiita dimond wenzako wanawaza watapata wapi mtaji wafungue kiwanda cha kutengeneza ndege Keep on gossiping man