Ama Kweli Diamond ni "Mzungu"

Ama Kweli Diamond ni "Mzungu"

Kuwa mzungu ni sifa au kichekesho? Nisije kucomment wakati sijui uzungu ni nini.
 
Nini kipya sasa hapo?? Uzungu ndo nini na faida zake ni nini?
 
Katika hali isiyo tarajiwa na wengi hatimaye Diamond platnumz amempost na kumuwish Happy B day mtoto wa kufikia mtoto wa Zari bila kinyongo kabisa!

Wanaume inabidi kuiga mfano huu na kuacha Vinyongo pamoja na Biti zote anazochimbwa na Ivan!
9b98960a986225606a0ffce516c459d0.jpg



Babu we mbea sana sasa uzungu ndo nini

Kazi yako kumfolow huyo anaejiita dimond wenzako wanawaza watapata wapi mtaji wafungue kiwanda cha kutengeneza ndege

Keep on gossiping man
 
Back
Top Bottom