Ama kweli kisa hiki cha Nairobi Kenya, cha kijana aliyeachwa hai na gaidi kina mafunzo mengi, be nice to people you never know..!!

nimefika na pia najua kaskazini ya kenya na mombasa (kwa kiasi flan) kuna wasomali wengi. Najua pia wapo wakenya wengi sana wenye asili ya somalia ambao mababu zao wamezaliwa na kukulia kenya. Rudia tena kusoma nilichoandika tarattibu utaelewa
 
unafaa kuwa pale magogoni kumsaidia jiwe...
 
KILA MJA ANA SIKU NA SAA ALIYOPANGIWA NA MUUMBA WAKE
 
Nashukuru mkuu nimekupata.....

Navyo fahamu mm jambazi/gaidi akisha fahamu umemtambua hakuachi salama ili kuondoa ushahidi...

Hatuwezi kumhukumu huyu dogo lakini angetakiwa achunguzwe na kuhojiwa....

Kuondoa ushahidi upi wakati gaidi anajua atajilipua muda si muda?
Na kama hatajilipua,atalipuliwa?
magaidi wapo kwa ajili ya kufa na sio vinginevyo.
wanaoogopa kuacha alama ya ushahidi ni wezi ama wale waoga wasiotaka kuwahi bikira 72 peponi
 
Kuondoa ushahidi upi wakati gaidi anajua atajilipua muda si muda?
Na kama hatajilipua,atalipuliwa?
magaidi wapo kwa ajili ya kufa na sio vinginevyo.
wanaoogopa kuacha alama ya ushahidi ni wezi ama wale waoga wasiotaka kuwahi bikira 72 peponi
Dah wapelelezi wangekuwa na akili ya hitimisho kama yako, basi Tanzania ingesha tekwa na wale jamaa wa kibiti na amboni Tanga mda mrefu
 
Wema hauozi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…