Ama kweli mapenzi yanaondoa ufahamu

Ama kweli mapenzi yanaondoa ufahamu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Huyu mrembo niliye naye, ananichanganya sana, mpaka uwezo wa kufikiri kuna wakati huwa unapungua kabisa; kumbe kupenda sana ni ugonjwa.

Kuna siku nilileta uzi, 'nimeutua mzigo mzito' lakini baada ya hapo tukajikuta tumerudiana tena; kutokana na uumbwaji wake, naona kabisa nikimuacha, nafsi yangu itateseka sana. Na sasa nipo kwenye harakati za kumpa ujauzito, ili tukija kuzinguana huko mbeleni, angalau niwe nimeweka alama.

Sasa juzi, tulikuwa naye kwenye kiwanja kimoja; tumepiga vyombo mpaka usiku mnene, mnavyojua tena, nyama choma jumlisha vinywaji, hisia huwa zinakuja kwa spidi.

Nikajikuta naomba penzi, na yeye hakusita; akaanza kunichezea pale pale, baada ya dakika mzee huyo kasimama kwa hasira; mara naona mtu ameikalia pale pale kiwanjani bila aibu; kwa sababu ilikuwa ni usiku mnene, na taa ni za rangi rangi, na kiwanja kiko level kwa wanaojitambua, hakuna aliyejua kama tunapelekeana moto.

Akawa ameikalia huku anapiga kinywaji akitikisa kiuno taratibu; (kusema ukweli, kesho yake ndio niliona aibu); baada ya kama dakika 10 akatoka akakaa kwenye kiti chake, tukaendelea kupiga vyupa.

Nilikuwa bado sijamaliza, nikamuomba tuondoke tukamalizie, akazingua, mnavyojua tena swaga za warembo zilivyo; baada ya kulewa sana, nikamsindikiza kwake nami nikarudi kwangu.

Jana usiku kuamkia leo ndio akawa amekuja kumalizia ile kazi ambayo hakuimalizia pale kiwanja; nikikumbuka alivyonizingua huko nyuma, nimempa shoo kabambe; hapa nilipo napata supu ya sato kufidia nguvu nilizopoteza.

Ama kweli mapenzi ni ujinga; sikiachi hiki kifaa chenye muonekano huu, niiteni zoba, poa tu; hapa lazima nitoe vi equation x junior viwili.

leo3.jpg
 
Mapenzi sio ujinga, ila mtu ndio huwa mjinga... Kama wewe
 
Story Yako inatufundisha kuwa walevi sio watu wa maanasana 😂😂😂na mnabakana tu ovyoovyo mkishalewa
Mje tu mnipige🏃🏃🏃
Walevi ni watu wa maana sana alafu wana exposure, pia mapenzi ni hisia na ni burudani pia ukiwa na umpendaye, pia ni gharama ndio maana si wote wanaofurahia mapenzi; muhimu tu, uishi kwa furaha kwa sababu tunaishi mara moja.​
 
Back
Top Bottom