Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
Mengine unamezea ili wanawake waamini umebeba makende imara.
Kutumia 'fake ID', ina maana 'dare to speak openly'; pia ni sehemu ya watu wengine kuondolea stress kwa kupata 'real story' wengine hawapendi 'fake story'; Hii ni sehemu ya 'entertainment' ; sio kila siku kuwaza namna ya kuchimba visima vya mafuta wakati uwezo hakuna.