Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #41
Mengine unamezea ili wanawake waamini umebeba makende imara.
ππSasa wote tukinywa bia Azam embe atakunywa nani ajira za watu Kwa bahresa zitapoteaπWe sio mzalendo; viwanda vikifungwa vitapoteza ajira za watu wangapi? Nenda kamwagilie moyo π π
ππππHuyo sio mwehu,huyo ana mbinu za kijasiriamaliKama mtu kunengua akiwa amepakatwa au π π
Sasa first year imekusaidia kuvumbua nini mpaka sasa hivi; kupika visheti au ππ, kula stori wewe, maisha ni mafupiKwa psychology yangu kidogo tu nikisoma first year,mabandiko Yako yanaonesha una pitia sonona japo ur pretend to be happy, bado endelea kutafuta mtu sahihi akutoe hiyo hali....π.
You might be right at some places!Ila,usijichanue sana kama unataga.Kutumia 'fake ID', ina maana 'dare to speak openly'; pia ni sehemu ya watu wengine kuondolea stress kwa kupata 'real story' wengine hawapendi 'fake story'; Hii ni sehemu ya 'entertainment' ; sio kila siku kuwaza namna ya kuchimba visima vya mafuta wakati uwezo hakuna.
Wewe juisi chupa tatu humalizi; lakini kwenye mvinyo, mtu mmoja anaweza kumaliza ata kreti 3ππSasa wote tukinywa bia Azam embe atakunywa nani ajira za watu Kwa bahresa zitapoteaπ
Usiogope, sio lazima wote kutazama series za uturukiYou might be right some places!Ila,usijichanue sana kama unataga.
Sio miaka 200 tenaπ?Sasa first year imekusaidia kuvumbua nini mpaka sasa hivi; kupika visheti au ππ, kula stori wewe, maisha ni mafupi
Hayo umesema weweππππHuyo sio mwehu,huyo ana mbinu za kijasiriamali
π€£π€£π€£π€£π€£Haya napitaHayo umesema wewe
Sio miaka 200 tenaπ?
Karibu upate lubisiπ€£π€£π€£π€£π€£Haya napita
ππSawaWewe juisi chupa tatu humalizi; lakini kwenye mvinyo, mtu mmoja anaweza kumaliza ata kreti 3
π π up/down inakuwa haipo zaidi ya kuzungusha tu ikiwa 'in'Mkuu umesikia utafiti kuhusu styles za love making zinavyoweza kuvunja mkuyenge?, sasa endelea kukaliwa siku utaukosa mkuyenge wakoπ
Mi nimekupa tahadhari tuπππ π up/down inakuwa haipo zaidi ya kuzungusha tu ikiwa 'in'
Kujihami muhimu, kitendea kazi kikiangamizwa ata uwe na pesa kiasi gani, haisaidiiMi nimekupa tahadhari tuππ
πππ waliosema mapenzi yanaua, hawakukoseahizo ni genye tu mkuu au ushachanganyiwa mdalasini na iliki kwa mbalii