Ama kweli, siku hazigandi. Leo nimekutana nae after 21 good years

Ama kweli, siku hazigandi. Leo nimekutana nae after 21 good years

Nikajua ulikutana na mchuchu then mkatemana after 21 years zikabamba Tena kumbe..🤣
Mkuu, ebu futa hii komenti kabla waifu hajapita upande huu...🤣🤣
 
Hii overtaking uliyotufanyia ni zaidi ya uteuzi wa Mpango kuwa Makamu wa Rais.
Watu tulijua inazingumzia mrembo ambaye umetoka kuwa naye kwenye mahusiano zaidi ya 20 yes! Lol
 
muazishe ligi nyingine
Hapana mkuu...
Leo mimi Ni baba, nimekua na umri wa busara.
Ninapaswa kutulia na sasa nijiandalie maisha ya kustaafu nikingali na heshma yangu pia nipate wasaha mzuri wa kutengeneza connections kwaajili ya wanangu.
Sitaki tena ligi/shari
 
Hauna adabu kabisa mwanangu...☹️☹️
Ha ha! Hili litakuwa gumzo.. sikuhizi tatizo nyie wazee wetu mmeanza hadi kutuchukulia vimwali vyetu! Mkeka mlishaanza kuuchana nyie wenyewe..😂
 
Ha ha! Hili litakuwa gumzo.. sikuhizi tatizo nyie wazee wetu mmeanza hadi kutuchukulia vimwali vyetu! Mkeka mlishaanza kuuchana nyie wenyewe..😂
Tunawasaidia kutunza kwambaaaaali sana....🤣🤣
 
Back
Top Bottom