Ama kweli uchawi upo, hivi kweli Kibu Denis ni wakupewa namba Simba?

Ama kweli uchawi upo, hivi kweli Kibu Denis ni wakupewa namba Simba?

Simba wakubali Kibu ni mzigo haswaa!

Jamaa habailiki aisee!
 
Ulitaka apewe nani hiyo namba? Hebu acheni malalamiko yenu hapa. Angefunga hapa, basi mngemwagia sifa kedekede!
Yeyote hata kama awe ni buda ila mwenye kufungafunga magoli ni bora mno kuliko kijana mwenye kukosakosa magoli.
 
Nimekuwa nikifatilia namna ya uchezaji wa huyu bwana, hakika Hana uwezo wa kucheza hapo msimbazi. Jamaa ni mweupe mno kwenye maswala ya mpira na Kama siyo uchawi hakika hapati namba kwenye klabu yoyote ya mpira hapa nchini.
Kibu D na yule Msenge mwenzie Kyombo

Hawa nikiona wameingia najua tyr tusha Draw / Kufungwa kabisa

Kama Manchester na Maguire
 
Ulitaka apewe nani hiyo namba? Hebu acheni malalamiko yenu hapa. Angefunga hapa, basi mngemwagia sifa kedekede!
Me nimewasikia mashibiki wa simba leo bora aingizwe BOKO , KIBU anaruka ruka tu nilibakia kucheka tu
 
Attachments

  • 4c84b603ad5ead17d13318e1a138869b.mp4
    1.1 MB
Back
Top Bottom