Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
YodaNanukuu kitabu cha kiislamu kama ifuatavyo;
"Kasema Mtume (s. A. W) Anamwingia Mmoja Wenu Shetani Katika Sala. Basi Anampuliza Katika Matako Yake. Basi Yule Mtu Inamwingia Fikra Kua Umemtoka Upepo. Nae Haukumtoka. Basi Akiona Hali Hiyo Asiondoke Kwenye Sala Mpaka Asikie Umemtoka Huo Upepo.
(KITABU CHA MKWELI MWAMIU JUZUU YA 1- -2. HADITHI NA 74. UK 42"
Mimi Mambaz 24 nawakumbusha ndugu zangu kuwa YBWYB.
Mjomba analimwaga uno kiasi mama Danny wangu akijaribu kesho tunaamkia Muhimbili tena kwa daktari bingwa wa mifupa na nyonga.
Hahaha kina Al-mukheef hao na misijdah yao.Mjomba analimwaga uno kiasi mama Danny wangu akijaribu kesho tunaamkia Muhimbili tena kwa daktari bingwa wa mifupa na nyonga.
Ndiyo tunasema hizi dini kukosa kuzaliwa automatically unajikuta dini fulani hakuna mtu angebaki humo.Dini inayotetea ugaidi watu wanatekwa watu wake wapo kimya
Sijda utasema taa ya bodaboda boxerHahaha kina Al-mukheef hao na misijdah yao.
Duh,
Kwamba jamaa wana taa usoni?Sijda utasema taa ya bodaboda boxer