ama kweli 'ukipenda huoni kengeza'

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
642

Wakuu nimetafuta neno zuri la kuelezea picha hii nimekosa. ila kwa kifupi hawa ni mke na mume. Hapa kuna kupenda au ni ule usemi wa 'hapendwi mtu'?
 
Ngoja nikalalee.......hii picha ngumu kumesa.....
 

Wakuu nimetafuta neno zuri la kuelezea picha hii nimekosa. ila kwa kifupi hawa ni mke na mume. Hapa kuna kupenda au ni ule usemi wa 'hapendwi mtu'?

Haiwezekani! nasemahivi haiwezekani, mdogo wangu koku, eti huyu ndo shemeji yangu au nimesikia vibaya?
 
Tatizo ni nini hapo, kipendacho roho
 
kupenda fumbo gumu,binti kazimika hapo.
 
may be. But it also happen
Kwahiyo unajaribu kusema kuna watu hawastahili kupendwa kwasababu we unaona sio wazuri wa sura?Kumbuka 'UZURI WA KITU UKO KWENYE MACHO YA MTAZAMAJI' kwahiyo kizuri chako kinaweza kisiwe changu...na kizuri changu sio lazima kiwe chako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…