Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Wakuu nimetafuta neno zuri la kuelezea picha hii nimekosa. ila kwa kifupi hawa ni mke na mume. Hapa kuna kupenda au ni ule usemi wa 'hapendwi mtu'?
may be. But it also happen
Kwahiyo unajaribu kusema kuna watu hawastahili kupendwa kwasababu we unaona sio wazuri wa sura?Kumbuka 'UZURI WA KITU UKO KWENYE MACHO YA MTAZAMAJI' kwahiyo kizuri chako kinaweza kisiwe changu...na kizuri changu sio lazima kiwe chako!may be. But it also happen