Ama M23 wataiteka Goma au majeshi ya SADC yataingia Ikulu Kigali

kumbe wanajeshi 600 ndo walikua wa rwanda sasa mbona ile vita uganda alishindwa
 
Kwamba Kwa sasa M23 wanapigika, lakini taarifa hatupewi, ila M23 walipata gari la deraya au ya kivita wanapiga kelele na kuonyesha umma, ili familia za wanajeshi wa kigeni wapige kelele ili waondolewe huko
 
Lakini hebu jiulize, SADC wako wapi? Mbona kimyaaa? Fuatilia kwa makini mambo sio mazuri. Sasa hivi ni Diplomasia inafanya kazi kwani mbu katua kwenye korodani.
Mwizi anakimbizwa kimya kimya, Mwizi sasa hivi ndio mwenye kupiga kelele, sijui wamepiga watoto na akinamama, sijui wana wa support genocide forces
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…