Halafu wewe juha kweli kweli, hujui lolote nimekwisha kugundua. Kwa taarifa yako hiyo vita kati ya DRC/Angola/Zimbabwe etc vs Rwanda, Uganda ilikuwa ni jina tu hawakushiriki kikamilifu walijiegesha tu, kwani walipeleka platoon moja ya Mizinga na haikupigana hata siku moja boss wao M7 mwenyewe alikuwa amekwepa kuingia vitani akitaka Rwanda ipigwe na kwasababu hiyo hicho ki platoon chake cha askari 31 hakikurusha hata kombola moja. Hiyo Vita kwa taarifa yako ilikuwa heavy haijawahi kutokea labda kwenye WWI&II. Anyway Rwanda iribidi ifanye withdraw kupitia Angola through Maquela de Zombo ni baada ya kuzidiwa kwa vifaa na Manpower kwani Supply yao ilikuwa mbali sana zaidi ya 2000km wakati wapinzani wao walikuwa wanaingiza askari na vifaa kwa ma mia na maelfu from just across the boarder. At one point the manpower ratio wa 1:120. Pamoja na hayo Withdraw ya Rwandan forces ilikuwa out of this World. Anyway kuingia kwa Angola na Zimbabwe kwa upande wa DRC hakukutarajiwa na ndio ili wasimamisha Rwanda kuchukua DRC kwa mara nyingine tena na changamoto ilikuwa distance kutoka home base. So Angola na Zimbabwe wanaujua fika muziki wa RDF.
Eti umeshuhudia battle 17, zawapi hizo? Kitona, Njili, Pweto, Maquela de Zombo. Unadakia dakia tu kila kitu hata usivyovijua. Njoo tukupe script nzima hapa maveterans wa Operation Kitona.