Skumbuki ipi ni sahihi, nilikuwa nawaza kwa sauti nilishawah kukutana nayo wapi hiyo sentensi!!
Haters gonna hate... Come on anaunganisha vitu tu sio kwamba inaa ukweli wowote wa mathematics wala nini, so msiumie sana.. Vingine hua vinawejwa tu kufurahisha macho.... Ni kama Fibonacci series wanapachika hadi kwenye mimea ati inaobey ile series ya namba ila miine unakuta wameiforge tu wameilazimisha ionekane kama a fun fuct...
Kama ulisoma miaka ya 70s ulikutana na kitabu hicho au highway mathematics.
kitabu kinaitwa hesabu za kikwetu kilichapishwa na macmillan uk.
maalum kwa darasa la 4-8 enzi hizo.
Hapo kwenye red.. Duh!!Kama alitaka kufurahisha tu..basi chit chat ndio jukwaa sahihi hapa ni "interejensia "
Hapo kwenye red.. Duh!!
Ili hesabu iwe na ukweli wake; haiitaji lugha inayotumika kuwa kweli. So ili kuproof jaribu kutumia maneno ya lugha mbalimbali uone kama itakupa percentages hizo hizo... then utakuwa validated.
Umenena mkuu
haya mahesabu haya basi tu..If:
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z - Is equal to; 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26
Then;
H+A+R+D+W+O+R+K ; 8+1+18+4+23+15+18+11=98%
K+N+O+W+L+E+D+G+E ; 11+14+15+23+12+5+4+7+5=96%
L+O+V+E; 12+15+22+5 = 54%
L+U+C+K ; 12+21+3+11 = 47%
None of them makes 100%. Then what makes 100% ???
Is it Money? NO !!!
M+O+N+E+Y= 13+15+14+5+25=72%
Leadership? NO !!!
L+E+A+D+E+R+S+H+I+P= 12+5+1+4+5+18+19+8+9+16=97%
Every problem has a solution, only if we perhaps change our "ATTITUDE".
A+T+T+I+T+U+D+E ; 1+20+20+9+20+21+4+5 = 100%
It is therefore OUR ATTITUDE towards Life and Work that makes OUR Life 100% Successful..
hapa naanza kuamini uzee busara,kula like mkuuIli hesabu iwe na ukweli wake; haiitaji lugha inayotumika kuwa kweli. So ili kuproof jaribu kutumia maneno ya lugha mbalimbali uone kama itakupa percentages hizo hizo... then utakuwa validated.
If:
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z - Is equal to; 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26
Then;
H+A+R+D+W+O+R+K ; 8+1+18+4+23+15+18+11=98%
K+N+O+W+L+E+D+G+E ; 11+14+15+23+12+5+4+7+5=96%
L+O+V+E; 12+15+22+5 = 54%
L+U+C+K ; 12+21+3+11 = 47%
None of them makes 100%. Then what makes 100% ???
Is it Money? NO !!!
M+O+N+E+Y= 13+15+14+5+25=72%
Leadership? NO !!!
L+E+A+D+E+R+S+H+I+P= 12+5+1+4+5+18+19+8+9+16=97%
Every problem has a solution, only if we perhaps change our "ATTITUDE".
A+T+T+I+T+U+D+E ; 1+20+20+9+20+21+4+5 = 100%
It is therefore OUR ATTITUDE towards Life and Work that makes OUR Life 100% Successful..
Hii ni invalid calculation because huwezi kujumlisha namba ambazo sio percentage(%) halafu ukapata jawabu lenye percentage(%).hivi nyie watoto wa mlugo vipi mnataka waalimu wawafundishe wakiwa uchi ndo muwaelewe.
i.e 1%+2%=3% Na sio 1 + 2 = 3%.
Your amazing calculation = scrap
If:
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z - Is equal to; 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26
Then;
H+A+R+D+W+O+R+K ; 8+1+18+4+23+15+18+11=98%
K+N+O+W+L+E+D+G+E ; 11+14+15+23+12+5+4+7+5=96%
L+O+V+E; 12+15+22+5 = 54%
L+U+C+K ; 12+21+3+11 = 47%
None of them makes 100%. Then what makes 100% ???
Is it Money? NO !!!
M+O+N+E+Y= 13+15+14+5+25=72%
Leadership? NO !!!
L+E+A+D+E+R+S+H+I+P= 12+5+1+4+5+18+19+8+9+16=97%
Every problem has a solution, only if we perhaps change our "ATTITUDE".
A+T+T+I+T+U+D+E ; 1+20+20+9+20+21+4+5 = 100%
It is therefore OUR ATTITUDE towards Life and Work that makes OUR Life 100% Successful..
hizi .ni hesabu .za kikwetu....?