AmAiZiNG MaThEMaTiCs::

AmAiZiNG MaThEMaTiCs::

Ngoja nipite tu!pasua kichwa mtoa thread,nameza panadol then ntarudi!
 
Haters gonna hate... Come on anaunganisha vitu tu sio kwamba inaa ukweli wowote wa mathematics wala nini, so msiumie sana.. Vingine hua vinawejwa tu kufurahisha macho.... Ni kama Fibonacci series wanapachika hadi kwenye mimea ati inaobey ile series ya namba ila miine unakuta wameiforge tu wameilazimisha ionekane kama a fun fuct...
 
Skumbuki ipi ni sahihi, nilikuwa nawaza kwa sauti nilishawah kukutana nayo wapi hiyo sentensi!!

Kama ulisoma miaka ya 70s ulikutana na kitabu hicho au highway mathematics.
kitabu kinaitwa hesabu za kikwetu kilichapishwa na macmillan uk.
maalum kwa darasa la 4-8 enzi hizo.
 
Haters gonna hate... Come on anaunganisha vitu tu sio kwamba inaa ukweli wowote wa mathematics wala nini, so msiumie sana.. Vingine hua vinawejwa tu kufurahisha macho.... Ni kama Fibonacci series wanapachika hadi kwenye mimea ati inaobey ile series ya namba ila miine unakuta wameiforge tu wameilazimisha ionekane kama a fun fuct...

Kama alitaka kufurahisha tu..basi chit chat ndio jukwaa sahihi hapa ni "intelejensia "
 
Kama ulisoma miaka ya 70s ulikutana na kitabu hicho au highway mathematics.
kitabu kinaitwa hesabu za kikwetu kilichapishwa na macmillan uk.
maalum kwa darasa la 4-8 enzi hizo.

hahaa, loh, mkuu nimekumbuka kilikuwa kitabu kipana hivi cover ya njano kama skosei, ndani kulikuwa na mifano ya mitihani ya std7!
 
Technicaly Nilichokielewa hapa, mleta uzi, sio ''mpiga ramli''(fortune teller). kwa kutumia neno attitude, anajaribu ku-justify namna ya mtu kuyaendea maisha katika mfumo sahihi, na sio mahesabu per se na pengine kinachotibua hoja yake kipo kwenye heading yake anapoziita amazing mathematics!!. it is quiet obvious mathematics offers nothing here. it is mentoring and coaching thing than strictly mathematics.
 
Ili hesabu iwe na ukweli wake; haiitaji lugha inayotumika kuwa kweli. So ili kuproof jaribu kutumia maneno ya lugha mbalimbali uone kama itakupa percentages hizo hizo... then utakuwa validated.
 
Ili hesabu iwe na ukweli wake; haiitaji lugha inayotumika kuwa kweli. So ili kuproof jaribu kutumia maneno ya lugha mbalimbali uone kama itakupa percentages hizo hizo... then utakuwa validated.

Umenena mkuu
 
If:

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z - Is equal to; 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26

Then;

H+A+R+D+W+O+R+K ; 8+1+18+4+23+15+18+11=98%

K+N+O+W+L+E+D+G+E ; 11+14+15+23+12+5+4+7+5=96%

L+O+V+E; 12+15+22+5 = 54%

L+U+C+K ; 12+21+3+11 = 47%

None of them makes 100%. Then what makes 100% ???

Is it Money? NO !!!

M+O+N+E+Y= 13+15+14+5+25=72%

Leadership? NO !!!

L+E+A+D+E+R+S+H+I+P= 12+5+1+4+5+18+19+8+9+16=97%

Every problem has a solution, only if we perhaps change our "ATTITUDE".

A+T+T+I+T+U+D+E ; 1+20+20+9+20+21+4+5 = 100%

It is therefore OUR ATTITUDE towards Life and Work that makes OUR Life 100% Successful..
haya mahesabu haya basi tu..
 
Ili hesabu iwe na ukweli wake; haiitaji lugha inayotumika kuwa kweli. So ili kuproof jaribu kutumia maneno ya lugha mbalimbali uone kama itakupa percentages hizo hizo... then utakuwa validated.
hapa naanza kuamini uzee busara,kula like mkuu
 
If:

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z - Is equal to; 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26

Then;

H+A+R+D+W+O+R+K ; 8+1+18+4+23+15+18+11=98%

K+N+O+W+L+E+D+G+E ; 11+14+15+23+12+5+4+7+5=96%

L+O+V+E; 12+15+22+5 = 54%

L+U+C+K ; 12+21+3+11 = 47%

None of them makes 100%. Then what makes 100% ???

Is it Money? NO !!!

M+O+N+E+Y= 13+15+14+5+25=72%

Leadership? NO !!!

L+E+A+D+E+R+S+H+I+P= 12+5+1+4+5+18+19+8+9+16=97%

Every problem has a solution, only if we perhaps change our "ATTITUDE".

A+T+T+I+T+U+D+E ; 1+20+20+9+20+21+4+5 = 100%

It is therefore OUR ATTITUDE towards Life and Work that makes OUR Life 100% Successful..

Mabingwa wa math. poleni sana.msilaumu huyu dogo .labda katumia kanuni ya elimu ya "nyota".wakati shekh yahya anakufa,tayari alishaacha legacy kwa baadhi ya vijana.yawezekana huyu ni mmoja wa wanafunzi wa mtabiri maarufu africa mashariki na kati.the late sheikh yahya hussein😀😀
 
Hii ni invalid calculation because huwezi kujumlisha namba ambazo sio percentage(%) halafu ukapata jawabu lenye percentage(%).hivi nyie watoto wa mlugo vipi mnataka waalimu wawafundishe wakiwa uchi ndo muwaelewe.

i.e 1%+2%=3% Na sio 1 + 2 = 3%.

Your amazing calculation = scrap

Great!
I love Jf!!!
 
If:

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z - Is equal to; 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26

Then;

H+A+R+D+W+O+R+K ; 8+1+18+4+23+15+18+11=98%

K+N+O+W+L+E+D+G+E ; 11+14+15+23+12+5+4+7+5=96%

L+O+V+E; 12+15+22+5 = 54%

L+U+C+K ; 12+21+3+11 = 47%

None of them makes 100%. Then what makes 100% ???

Is it Money? NO !!!

M+O+N+E+Y= 13+15+14+5+25=72%

Leadership? NO !!!

L+E+A+D+E+R+S+H+I+P= 12+5+1+4+5+18+19+8+9+16=97%

Every problem has a solution, only if we perhaps change our "ATTITUDE".

A+T+T+I+T+U+D+E ; 1+20+20+9+20+21+4+5 = 100%

It is therefore OUR ATTITUDE towards Life and Work that makes OUR Life 100% Successful..

Mimi nadhani kwa uchache wangu wa elimu ya kinahesabu ilikupata asilimia kutoka ktk namba hizi
1.ningetafuta jumla ya namba zote i.e 1+2 +3 +4 +5 +6+ 7 +8+ 9+ 10+ 11+ 12 +13+ 14+ 15 +16+ 17 +18 +19 +20+ 21+ 22+ 23 +24 +25 +26=351

2.kanuni ya kupata % nisawa na kuchukua jumla utakayopata ktk neno fulani unaigawa na jumla kuu 351 kisha unazidisha kwa asilimia mia moja(100%) mf.neno "money" lenye jumla ya 72. Chukua jumla(72÷351)*100% =20.5%

3.kwahiyo ili kupata neno lenye asilimia mia moja ni lazima neno hilo liwe na jumla ya alama 351 na kisha ukifuata njia ya kipengele2 hapo juu utapata asilimia 100.mf.chukua herufu xyz kama kiwakilisha neno lenye jumla ya 351 then itakua.(351÷351)*100%=100%

4.Kwa maelezo hayo neno "attitude" haliwezi kuwa na asilimia mia bali litakua na n.b attitude = 100 mathematicaly (100÷351)*100%=28.5%

Hope tutakua tumeelewana.
 
hizi .ni hesabu .za kikwetu....?

nimesoma hii comment yako nimefurahi maana imerudisha kumbukumbu za zamani kile kitabu mama angu alikifanya nguzo za hesabu nimechezea sana bakora na kilikua ni sehemu ya maisha yng kila niendako ninacho maana jioni bi mkubwa anaanza nacho hakikunisadia kujua hesabu sana ila kilinipa uwezo wa kua muwajibikaji na kujali muda hawa wazazi wana akili sana.
 
Kila kitu hapa duniani ni mathematics!yaani hadi ulimi wako umejaa mathematics,nguo unayovaa ni mathematics,mchanga na ardhi nzima ni mathematics,maji unayokunywa na kuoga ni mathematics,unavyolala kitandani au kukaa kitini ni mathematics,sauti yako ni mathematics,..dunia yote ni mathematics!
 
Back
Top Bottom