Kutoka kwenye Urban Dictionary neno kafiri (kaffir) lina maneno yafuatayo;
1-The Afrikanns (South African) hili neno lina maana ya nigger
Mfano:
-Zulu: Yo, howzit my kaffir
-Xhosa: It's good, kaffir, it's good
-Venda: YO my kaffir heffers
-Boer: You, my kaffir brus, howzit?
2-Also spelled 'kafir', kaffir is a highly Arabic term used to refer to non-Muslims, though it is usually directed less against "People of the Book" (Christians and Jews) and more against others (Hindus, Buddhists, Shintoists, etc)
Kwahiyo:
Huenda mchangiaji alimaanisha "Marafiki" au Wasio waislamu
sasa na mikopo inatoa bila riba nije?sababu hilo ndilo lamuhimu sana..nikikopa 10Million baaaa ya 3yrs narudisha 10Million.hapo hata kesho nakuja..
Kwa hiyo kabla ya Uislamu na Muhammad kumbe manabii wote waliotangulia walikuwa makafiri?
Nandio maana watanzania hatuendelei kwenye biashara ushabiki kwenye siasa ushabiki habari ya ukafiri hapa inakujaje?hapa tunazungumza masuala ya benki ushabiki peleka jukwaa la siasa
Kwa hiyo kabla ya Uislamu na Muhammad kumbe manabii wote waliotangulia walikuwa makafiri?
Tufahamisheni, kama benki haitozi riba inaweza vipi kuendesha shughuli zake za kila siku
Wanatumia profit n loss sharing method mkopaj unakua na business propasal hlf wao wanafinance hlf mnashare faida itakayo patikana hlf na kampun ikipata loss bank inacover that loss
bora wafanye hivo vip mimi kama JAMES naruhusiwa kufungua account?????????????
Alifafanua kuwa pamoja na huduma zitakazotolewa na benki hiyo kufuata misingi ya dini ya Kiislamu, zitawahusu pia watu wa makundi yote wakiwamo wa dini nyingine wanaoamini katika mfumo wa kibenki unaofuata sharia.
Tufahamisheni, kama benki haitozi riba inaweza vipi kuendesha shughuli zake za kila siku
Wanatumia profit n loss sharing method mkopaj unakua na business propasal hlf wao wanafinance hlf mnashare faida itakayo patikana hlf na kampun ikipata loss bank inacover that loss
Hiyo ni riba katika lugha laini.
Ina maana mikopo yao haitokuwa na dhamana ?
Kwenye fedha hakuna ukafiri! Ukitaka kujua hilo peleka mchango wa kujenga msikiti uone kama watakataa!
Kwa hiyo kabla ya Uislamu na Muhammad kumbe manabii wote waliotangulia walikuwa makafiri?
Nandio maana watanzania hatuendelei kwenye biashara ushabiki kwenye siasa ushabiki habari ya ukafiri hapa inakujaje?hapa tunazungumza masuala ya benki ushabiki peleka jukwaa la siasa
We Boko Haramu,
Mimi sijaanzisha mada ya ukafiri ila imeletwa ndio nikaanza kuchangia! Sasa tatizo liko wapi hapa?
Tufahamisheni, kama benki haitozi riba inaweza vipi kuendesha shughuli zake za kila siku.
mimi nauza kiti fire,je nitaweza kuweka hela zangu huko ?
Mimi nafikiri riba ipo ila haiitwi riba!
amri kumi tu zinatushinda na nguzo kuu za uislamu zinatushinda, kama kwenda hijaa, au umra, kufunga, then tunategemea kupata thawabu kwa kuweka fedha kwenye benki ya kiislamu? na ni kwamba wale wajomba zangu walio fariki huko nyuma kabla ya kuanzishwa hii benki ni kwamba uislamu wao haukukamilika? tunako elekea ni kubaya kisa kuenekeza mambo kama haya madogomadogo mwishowe tutakuwa na upande huu wa makafiri huku kwa waislamu , wahindu nk nk, mwishowe itakuja kwamba coast yote ni ya waislamu nk nk kama tunavyo yaona ya mafia na viwanja vyao au unguja na baa zao