Amana Benki ya Kiislamu yaanzishwa Tanzania

Amana Benki ya Kiislamu yaanzishwa Tanzania

nawasiwasi sana na hii bank kufa mda mfupi baada JK kuondoka madarakani au kabla ya kuondoka madarakni...kwa sababu kwanza mtaji walioanza nao ni mdogo sana kulingana na soko la ushindani wa kibank,pia kuna watu wamehibeba siku wakitoweka duniani basi ndiyo mwisho wao.najiliza pia hakuana bank charges zozote zile?sababu kama bank profit inapatikana kwenye mikopo na mikopo kama haina riba wanaendesha gharama za kibank?natabili hii bank itakuwa kifo cha mende na pesa za watu kisha watabaki kulia..

watch out..
 
Imesajiriwa kama benki nyingine za kibishara na hivyo itatozwa kodi, au imesajiriwa kama non profit organization?
 
Kutoka kwenye Urban Dictionary neno kafiri (kaffir) lina maneno yafuatayo;

1-The Afrikanns (South African) hili neno lina maana ya nigger
Mfano:
-Zulu: Yo, howzit my kaffir
-Xhosa: It's good, kaffir, it's good
-Venda: YO my kaffir heffers
-Boer: You, my kaffir brus, howzit?

2-Also spelled 'kafir', kaffir is a highly Arabic term used to refer to non-Muslims, though it is usually directed less against "People of the Book" (Christians and Jews) and more against others (Hindus, Buddhists, Shintoists, etc)

Kwahiyo:
Huenda mchangiaji alimaanisha "Marafiki" au Wasio waislamu

Kwa hiyo kabla ya Uislamu na Muhammad kumbe manabii wote waliotangulia walikuwa makafiri?
 
sasa na mikopo inatoa bila riba nije?sababu hilo ndilo lamuhimu sana..nikikopa 10Million baaaa ya 3yrs narudisha 10Million.hapo hata kesho nakuja..

Na ukiweka kiasi hichohicho,baada ya miaka 3 utarudishiwa hichohicho! Mjanja nani hapo!?
 
Kwa hiyo kabla ya Uislamu na Muhammad kumbe manabii wote waliotangulia walikuwa makafiri?
Nandio maana watanzania hatuendelei kwenye biashara ushabiki kwenye siasa ushabiki habari ya ukafiri hapa inakujaje?hapa tunazungumza masuala ya benki ushabiki peleka jukwaa la siasa
 
Kwa hiyo kabla ya Uislamu na Muhammad kumbe manabii wote waliotangulia walikuwa makafiri?

Mkuu,
Kwa imani yako ni hivyo na sikulazimishi ila katika uislamu ni kwamba Manabii/Mitume wote kuanzia Nabii Adam mpaka Mtume Muhammad (S.A.W) ni waislamu.

Halafu hii thread inahusu habari kuhusu kuanzishwa kwa benki ya kiislamu (Amana Bank), hivyo usipindishe maada.

Kama ni masuala yanayohusu imani/dini tumewekewa jukwaa lake husika..
 
Smart move! cha umuhimu ni kuzingatia business hapo na sio udini, basi italeta faida sana ktk jamii. Ila kama ikileta religious favs! itakufa kama sisimizi! big up the whole project. We are all from the same father!
 
Tufahamisheni, kama benki haitozi riba inaweza vipi kuendesha shughuli zake za kila siku
Wanatumia profit n loss sharing method mkopaj unakua na business propasal hlf wao wanafinance hlf mnashare faida itakayo patikana hlf na kampun ikipata loss bank inacover that loss
 
bora wafanye hivo vip mimi kama JAMES naruhusiwa kufungua account?????????????

Jee, umo au haumo?

Alifafanua kuwa pamoja na huduma zitakazotolewa na benki hiyo kufuata misingi ya dini ya Kiislamu, zitawahusu pia watu wa makundi yote wakiwamo wa dini nyingine wanaoamini katika mfumo wa kibenki unaofuata sharia.
 
Tufahamisheni, kama benki haitozi riba inaweza vipi kuendesha shughuli zake za kila siku
Wanatumia profit n loss sharing method mkopaj unakua na business propasal hlf wao wanafinance hlf mnashare faida itakayo patikana hlf na kampun ikipata loss bank inacover that loss

Hiyo ni riba katika lugha laini.
Ina maana mikopo yao haitokuwa na dhamana ?
 
Kwenye fedha hakuna ukafiri! Ukitaka kujua hilo peleka mchango wa kujenga msikiti uone kama watakataa!

eeeeeeehhhhhhhhhhhhh YAAAAAAAANI HAT A PESA NILIZOUZIA NGURUWE WANGU WANACHUKUA
HIVI WALA KITIMOTO RUKSA KUFUNGUA ACCOUNT??
 
Niagizieni ilipo benki niende nkajaribu bahati yangu ya mkopo bila riba.
Mi mkristo, ntapewa kipaumbele?
 
amri kumi tu zinatushinda na nguzo kuu za uislamu zinatushinda, kama kwenda hijaa, au umra, kufunga, then tunategemea kupata thawabu kwa kuweka fedha kwenye benki ya kiislamu? na ni kwamba wale wajomba zangu walio fariki huko nyuma kabla ya kuanzishwa hii benki ni kwamba uislamu wao haukukamilika? tunako elekea ni kubaya kisa kuenekeza mambo kama haya madogomadogo mwishowe tutakuwa na upande huu wa makafiri huku kwa waislamu , wahindu nk nk, mwishowe itakuja kwamba coast yote ni ya waislamu nk nk kama tunavyo yaona ya mafia na viwanja vyao au unguja na baa zao
 
Kwa hiyo kabla ya Uislamu na Muhammad kumbe manabii wote waliotangulia walikuwa makafiri?
Nandio maana watanzania hatuendelei kwenye biashara ushabiki kwenye siasa ushabiki habari ya ukafiri hapa inakujaje?hapa tunazungumza masuala ya benki ushabiki peleka jukwaa la siasa

We Boko Haramu,
Mimi sijaanzisha mada ya ukafiri ila imeletwa ndio nikaanza kuchangia! Sasa tatizo liko wapi hapa?
 
safi sana... nadhani hii ni bank ya pili.. ipo bank ambayo inatoa service kama hii nimesahau jina kidogo... kuhusu mikopo bado hawajaanza kutoa.. kwani ndio kwanza imeanza..

wanaotabiri hii bank kufa! hizo ni alinacha endeleeni kusubiri...

amri kumi tu zinatushinda na nguzo kuu za uislamu zinatushinda, kama kwenda hijaa, au umra, kufunga, then tunategemea kupata thawabu kwa kuweka fedha kwenye benki ya kiislamu? na ni kwamba wale wajomba zangu walio fariki huko nyuma kabla ya kuanzishwa hii benki ni kwamba uislamu wao haukukamilika? tunako elekea ni kubaya kisa kuenekeza mambo kama haya madogomadogo mwishowe tutakuwa na upande huu wa makafiri huku kwa waislamu , wahindu nk nk, mwishowe itakuja kwamba coast yote ni ya waislamu nk nk kama tunavyo yaona ya mafia na viwanja vyao au unguja na baa zao

what is your point?

Ukiona vipi unaweza kwenda kufungua na kuweka hela zako mkombozi bank ok..

Wenye kufanya ibada zao waache wafanye
 
Back
Top Bottom