jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,983
- 1,423
nawasiwasi sana na hii bank kufa mda mfupi baada JK kuondoka madarakani au kabla ya kuondoka madarakni...kwa sababu kwanza mtaji walioanza nao ni mdogo sana kulingana na soko la ushindani wa kibank,pia kuna watu wamehibeba siku wakitoweka duniani basi ndiyo mwisho wao.najiliza pia hakuana bank charges zozote zile?sababu kama bank profit inapatikana kwenye mikopo na mikopo kama haina riba wanaendesha gharama za kibank?natabili hii bank itakuwa kifo cha mende na pesa za watu kisha watabaki kulia..
watch out..
watch out..