PreGE2025 Amani Golugwa aachiwa kwa dhamana, Viongozi wengine waachiwa pia na kutakiwa kuripoti polisi kesho

PreGE2025 Amani Golugwa aachiwa kwa dhamana, Viongozi wengine waachiwa pia na kutakiwa kuripoti polisi kesho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakili msomi Dickson Matata kwa kushirikiana na jopo la mawakili wa CHADEMA, wamefanikiwa kupigania haki ya dhamana kwa Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, ambaye alikamatwa usiku wa kuamkia leo Mei 13, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na kushikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central).

IMG_4851.jpeg

IMG_4850.jpeg

Screenshot_20250513_215648_X.jpg
 
Nilidhani huyu Dickson Matata ni mmoja wa wasiliti? Au nimechanganya majina.

Amandla...
 
Tanzania imekuwa jela kubwa ya wazi isiyokuwa na kuta, na wote tumekuwa wafungwa wa watawala hawa wa chama dola.
Upinzani wa TZ na wenyewe umekua wa kipumbavu,kutwa nje ya nchi kuitangaza yao vibaya,mbona atuoni wapinzani wa nchi nyingine wakifanya ujinga kama huo!!
 
Wakili msomi Dickson Matata kwa kushirikiana na jopo la mawakili wa CHADEMA, wamefanikiwa kupigania haki ya dhamana kwa Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, ambaye alikamatwa usiku wa kuamkia leo Mei 13, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na kushikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central).

View attachment 3332971
View attachment 3332963
View attachment 3332978

CHADEMA wanapaswa watambue kwamba wapo vitani, hivyo Basi wasitarajie kuonewa huruma na Maadui zao. Wanapaswa watumie silaha yoyote ile katika kumkabili adui yao, ikiwezekana hata kutumia silaha za maangamizi ili mradi tu silaha hizo zitafanikisha katika kumdhoofosha adui yao na kumshinda.
 
Upinzani wa TZ na wenyewe umekua wa kipumbavu,kutwa nje ya nchi kuitangaza yao vibaya,mbona atuoni wapinzani wa nchi nyingine wakifanya ujinga kama huo!!
Wewe ni mpumbavu sugu, alikuwa anaenda kwenye mkutano wa vyama vya kidemokrasia duniani, na tanzania ni nchi ya hovyo kabisa kisiasa, hivyo lazima wasemwe.
 
Back
Top Bottom