PreGE2025 Amani Golugwa aachiwa kwa dhamana, Viongozi wengine waachiwa pia na kutakiwa kuripoti polisi kesho

PreGE2025 Amani Golugwa aachiwa kwa dhamana, Viongozi wengine waachiwa pia na kutakiwa kuripoti polisi kesho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wewe ni mpumbavu sugu, alikuwa anaenda kwenye mkutano wa vyama vya kidemokrasia duniani, na tanzania ni nchi ya hovyo kabisa kisiasa, hivyo lazima wasemwe.
Huyo UWT hana akili timamu, nchi inajitangaza yenyewe kwa mabaya kupitia Polisi na tume fake ya uchaguzi
 
CHADEMA wanapaswa watambue kwamba wapo vitani, hivyo Basi wasitarajie kuonewa huruma na Maadui zao. Wanapaswa watumie silaha yoyote ile katika kumkabili adui yao, ikiwezekana hata kutumia silaha za maangamizi ili mradi tu silaha hizo zitafanikisha katika kumdhoofosha adui yao na kumshinda.
Sure
 
Haya madai yanachekesha 😂😂😂
"Huwa anasafiri mara kwa mara nje ya nchi bila kufata utaratibu" kwahiyo jamaa huwa anatoroka au anafanya nini 😂😂😂
 
Back
Top Bottom