Amani Golugwa ajitokeza kusali na waumini wa kanisa la Askofu Gwajima

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Bara Amani Golugwa amefika ukumbi wa Tanzanite Kimara Korogwe kushiriki ibada ya jumapili na waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima.

Golugwa amepokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church Askofu Maximilian Machumu Kadutu (Mwanamapinduzi).

Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wameungana na makanisa mengine kuweza kufanya ibada kutokana na Kanisa lao kufungiwa.

Hahaha hivi polisi wataenda kulivunja na hilo jengo. Yaani akili kama za Osama na USA, unamuua Gadafi unaende kumtupa baharini kupoteza ushahidi wa kaburi lake sijui umesaidia nini
 
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Bara Amani Golugwa amefika ukumbi wa Tanzanite Kimara Korogwe kushiriki ibada ya jumapili na waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima.

Golugwa amepokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church Askofu Maximilian Machumu Kadutu (Mwanamapinduzi).

Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wameungana na makanisa mengine kuweza kufanya ibada kutokana na Kanisa lao kufungiwa.

View attachment 3411984
Nani anaishauri serikali ya chama changu chetu kufanya haya mambo ya kitoto yanayotupa wanachama wakati mgumu kukitetea chama chetu ?
 
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Bara Amani Golugwa amefika ukumbi wa Tanzanite Kimara Korogwe kushiriki ibada ya jumapili na waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima.

Golugwa amepokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church Askofu Maximilian Machumu Kadutu (Mwanamapinduzi).

Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wameungana na makanisa mengine kuweza kufanya ibada kutokana na Kanisa lao kufungiwa.

View attachment 3411984
Wanawakaribisha wenyewe halafu utakuta baadaye wanasema ohh wanasiasa waje tu kusali na kuondoka kama waumini wengine
 
Ni wabishi sio poa ila ndio safi hawapigani kwa mitutu Wala bunduki ila wanasonga mbele 👏👏👏👏👏
 
Back
Top Bottom