Amani Golugwa ajitokeza kusali na waumini wa kanisa la Askofu Gwajima

Amani Golugwa ajitokeza kusali na waumini wa kanisa la Askofu Gwajima

Wapigaji wa hela za tone tone, kahama Arusha akae karibu na akaunti za chama
 
hata yule msajili, kati ya vitu atajilaumu na atathibitisha maishani mwake kwamba alifanya kosa, ni kufunga hilo kanisa. atajilaumu maisha yake yote hata kama atasema yupo kwenye system, au alitaka kuwapendezesha wakubwa wampe vyeo, sawa atapata vyeo ila hili litaenda naye maisha yake yote na kizazi chake. hakuna Mtu aliwahi kupambana na mambo ya watu wanaoabudu Mungu halafu wasibaki historia. majuto yataongozana naye hadi watu watajua ni kwa sababu ya hili.na wote walioungana naye kufanya hilo. kwa huyo mteuzi wake, tumemkabidhi kwa Mungu kwa sababu yeye ana mapolisi, majeshi, na vikundi vya kuteka, sisi hatumuwezi ila Mungu atatupigania ajuavyo yeye.
 
Back
Top Bottom