The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Haujapenda?Haya
Yuko live leoKama Gwajima anarekodi matamko, anashindwa kurekodi mahubiri kwa ajili ya kondoo wake?
Nani anaishauri serikali ya chama changu chetu kufanya haya mambo ya kitoto yanayotupa wanachama wakati mgumu kukitetea chama chetu ?Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Bara Amani Golugwa amefika ukumbi wa Tanzanite Kimara Korogwe kushiriki ibada ya jumapili na waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima.
Golugwa amepokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church Askofu Maximilian Machumu Kadutu (Mwanamapinduzi).
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wameungana na makanisa mengine kuweza kufanya ibada kutokana na Kanisa lao kufungiwa.
View attachment 3411984
Labda think tanks wenu Steve Mengele, Jimmy Mafufu na Baba levoNani anaishauri serikali ya chama changu chetu kufanya haya mambo ya kitoto yanayotupa wanachama wakati mgumu kukitetea chama chetu ?
HAo ndio wahuni wanaotumika kumpotosha mwenyekiti wetu daktare. Ipo haja ya kuwadhibiti kabla ya huu mwezi haujaisha.Labda think tanks wenu Steve Mengele, Jimmy Mafufu na Baba levo
Wanawakaribisha wenyewe halafu utakuta baadaye wanasema ohh wanasiasa waje tu kusali na kuondoka kama waumini wengineKaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Bara Amani Golugwa amefika ukumbi wa Tanzanite Kimara Korogwe kushiriki ibada ya jumapili na waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima.

hayang'u