Amani Golugwa: Tunaenda kuiondoa CCM madarakani kidemokrasia

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kupambana kuiondoa CCM (Chama Tawala Nchini Tanzania) madarakani kwa njia ya kidemokrasia

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Tanzania Bara Amani Golugwa wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, muda mfupi baada ya Mahakama hiyo kutoa uamuzi wa kuifuta rasmi kesi iliyokuwa inahusu usawa kwenye mgawanyo wa mali kati ya Tanzania Bara

​
 
Nasubiri 7/7
 
Screenshot_20260417-113057~2.png
 
Amani Golugwa alikuwa miongoni mwa viongozi wachache wa CHADEMA wenye akili timamu ila baada ya kujiunga na genge la kina HECHE kawa mpuuzi sana. Ninaamuru GOLUGWA APUUZWE.
 
Yaani avatar yako tu kujiita mamaSamia2025 unaonesha ulivyo na akili kama ya hippopotamus
 
Kwa katiba ipi mpaka Mafisiemu yaondolewe madarakani? Hii hii ya ng'ombe wa bwana Heri na shamba la bwana Heri au kuna nyingine?
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kupambana kuiondoa CCM (Chama Tawala Nchini Tanzania) madarakani kwa njia ya kidemokrasia

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Tanzania Bara Amani Golugwa wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, muda mfupi baada ya Mahakama hiyo kutoa uamuzi wa kuifuta rasmi kesi iliyokuwa inahusu usawa kwenye mgawanyo wa mali kati ya Tanzania Bara
hivi huyu mgambo pia ni kiongozi wa chadema taifa au?🤣

na anaskizwa kabisa au nae ni watermelon tu kama heche 🐒
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kupambana kuiondoa CCM (Chama Tawala Nchini Tanzania) madarakani kwa njia ya kidemokrasia
Ni sahihi ila kwa hawa matapeli wa madaraka na wezi sio rahisi. Ila ipo siku
 
hivi huyu mgambo pia ni kiongozi wa chadema taifa au?🤣

na anaskizwa kabisa au nae ni watermelon tu kama heche 🐒
kuna chama kinachukua maelekezo toka kwa Form Four Failure!
 
Ila mimi nachojua wameisha iondoa madarakani tayari kwa sasa ccm imewekwa na vyombo vya dola na sio demokrasia kwa kura za wananchi .
 
Back
Top Bottom