Nasubiri 7/7Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kupambana kuiondoa CCM (Chama Tawala Nchini Tanzania) madarakani kwa njia ya kidemokrasia
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Tanzania Bara Amani Golugwa wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, muda mfupi baada ya Mahakama hiyo kutoa uamuzi wa kuifuta rasmi kesi iliyokuwa inahusu usawa kwenye mgawanyo wa mali kati ya Tanzania Bara
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kupambana kuiondoa CCM (Chama Tawala Nchini Tanzania) madarakani kwa njia ya kidemokrasia
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Tanzania Bara Amani Golugwa wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, muda mfupi baada ya Mahakama hiyo kutoa uamuzi wa kuifuta rasmi kesi iliyokuwa inahusu usawa kwenye mgawanyo wa mali kati ya Tanzania Bara
Yaani avatar yako tu kujiita mamaSamia2025 unaonesha ulivyo na akili kama ya hippopotamusAmani Golugwa alikuwa miongoni mwa viongozi wachache wa CHADEMA wenye akili timamu ila baada ya kujiunga na genge la kina HECHE kawa mpuuzi sana. Ninaamuru GOLUGWA APUUZWE.
hivi huyu mgambo pia ni kiongozi wa chadema taifa au?🤣Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kupambana kuiondoa CCM (Chama Tawala Nchini Tanzania) madarakani kwa njia ya kidemokrasia
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Tanzania Bara Amani Golugwa wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, muda mfupi baada ya Mahakama hiyo kutoa uamuzi wa kuifuta rasmi kesi iliyokuwa inahusu usawa kwenye mgawanyo wa mali kati ya Tanzania Bara
Ni sahihi ila kwa hawa matapeli wa madaraka na wezi sio rahisi. Ila ipo sikuChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kupambana kuiondoa CCM (Chama Tawala Nchini Tanzania) madarakani kwa njia ya kidemokrasia
kuna chama kinachukua maelekezo toka kwa Form Four Failure!hivi huyu mgambo pia ni kiongozi wa chadema taifa au?🤣
na anaskizwa kabisa au nae ni watermelon tu kama heche 🐒
hapo hapo ndani ya chadema?🤣kuna chama kinachukua maelekezo toka kwa Form Four Failure!