Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Relax bas gentleman,Aliye kwambia nina madeni ni nani?
Unaleta Viroja vyako vya kipumbavu badala ya hoja.
Acha kujichekesha kama fala.
Unadhani mimi ni kapuku kama wewe chawa?
Una kurupuka huko kuja ku quote watu unaingiza Shobo zako za kipumbavu za kichawa chawa.
Tafuta kazi wewe uachage uchawa.
punguza makasiriko, lakini bila madeni hutoboi kirahisi kamanda, komaa yataisha tu 🤣
