Amani isiyokuwa na faida ni sawa na matusi!

Relax bas gentleman,
punguza makasiriko, lakini bila madeni hutoboi kirahisi kamanda, komaa yataisha tu 🤣
 
Hongereni kwa kuandika ukweli jamani. Mungu awabariki. Kiukweli hali ya maisha Tanzania ni mbayaaa,watu wengi wana dhiki kubwaa huku wachache wakineemeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…