View attachment 2002168
Rais huyo Mstaafu wa Zanzibar amedai kwamba miongoni mwa mambo ambayo yamemsononesha na ambayo hatokuja kuyasahau kamwe ni hili la Jecha Salum Jecha kufuta matokeo halali ya uchaguzi wa 2015 , huku wao wakiwa kwenye vikao na Maalim Seif vya kujadili hatima ya Zanzibar .
Amewashangaa wanaccm kuogopa kuongozwa na Wapinzani .
Kiongozi sina lengo la kubishana na hoja yako.Sikatai kwa unavyofikiri but walao kasema kitu
Ku tekwa, kwa nafasi aliyo nayo isingekuwa rahisi. Labda tuseme aliogopa kuwashwa washwa.Angetekwa !
Wapinzani wenyewe wako wapi?. Ndio hawa magaidi, vibaraka wa mabeberu?. Shame on you
Shetani akizeeka anageuka kuwa malaika
Porojo za kisiasa hizo!
Tulia dawa ikuingie.Porojo za kisiasa hizo!
Kama ni "ukabila" basi ni ma-CCM yenye ngpzi nyeusi kule ZNZ ndiyo yanaongoza kwa ubaguzi...
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi ndio hata baada ya miaka 60 ya uhuru, bado yanakumbushia habari ya Izbu!!
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi, ndiyo yamekuwa yakisema Uhuru wa Zanzibar ulipatikana kwa mapinduzi na KATU hawawezi kuachia serikali kwa njia ya karatasi
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi ndiyo yalikuwa yanahakikisha Salim Ahmed Salim hapati nafasi ya urais Tanzania kwa kigezo kile kile kwamba, SAS ni Izbu!!
Ni haya ma-CCM ya rangi nyeusi na itikadi zao mfu za ASP ndio yalifanya Wafuasi wa Umma Party wasifurahie uhuru wa nchi yao ingawaje walijitoa sana katika kuhakikisha mapinduzi yanafanyika!
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi ndiyo yanagawa wa-Zanzibar kwa misingi ya rangi...
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi ndiyo yalikuwa yanaeneza propaganda kwamba CUF ingeshinda, basi Mwarabu angerejea Zanzibar!
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi ndiyo huku bara yakawa yanaeneza propaganda kwamba CUF ni Chama cha Waislamu, na CHADEMA ni Chama cha Wakristo na Wachaga!!!
Najua inauma..ila unabidi uzoee ccm ipo kukaa maisha...wewe izbhu katafute pa kwenda.
#MaendeleoHayanaChama
#MaendeleoHayanaChama
Asikudangaje mtu Zanzibar serikali ya umoja wa kitaifa inawezekana tu pale mtoto wa mwarabu mpemba akishika Kama Raisi akishika Mswahili ngozi nyeusi waarabu wapemba hawataki serikali ya umoja wa kuanzia kitaifa kuanzia kipindi Cha Karume baba yake huyo karume mwehu wapemba waliomuua , iwe kipindi Cha Mwinyi ,Raisi Idris Wakil, iwe kipindi Cha Salmin Amour ,Au kipindu Cha Dr SheiinKama ni "ukabila" basi ni ma-CCM yenye ngpzi nyeusi kule ZNZ ndiyo yanaongoza kwa ubaguzi...
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi ndio hata baada ya miaka 60 ya uhuru, bado yanakumbushia habari ya Izbu!!
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi, ndiyo yamekuwa yakisema Uhuru wa Zanzibar ulipatikana kwa mapinduzi na KATU hawawezi kuachia serikali kwa njia ya karatasi
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi ndiyo yalikuwa yanahakikisha Salim Ahmed Salim hapati nafasi ya urais Tanzania kwa kigezo kile kile kwamba, SAS ni Izbu!!
Ni haya ma-CCM ya rangi nyeusi na itikadi zao mfu za ASP ndio yalifanya Wafuasi wa Umma Party wasifurahie uhuru wa nchi yao ingawaje walijitoa sana katika kuhakikisha mapinduzi yanafanyika!
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi ndiyo yanagawa wa-Zanzibar kwa misingi ya rangi...
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi ndiyo yalikuwa yanaeneza propaganda kwamba CUF ingeshinda, basi Mwarabu angerejea Zanzibar!
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi ndiyo huku bara yakawa yanaeneza propaganda kwamba CUF ni Chama cha Waislamu, na CHADEMA ni Chama cha Wakristo na Wachaga!!!
Dah wee jamaa bana,napendaga Sana maandiko yako.
Nimecheka kuwa sauti.
Asikudangaje mtu Zanzibar serikali ya umoja wa kitaifa inawezekana tu pale mtoto wa mwarabu mpemba akishika Kama Raisi akishika Mswahili ngozi nyeusi waarabu wapemba hawataki serikali ya umoja wa kuanzia kitaifa kuanzia kipindi Cha Karume baba yake huyo karume mwehu wapemba waliomuua , iwe kipindi Cha Mwinyi ,Raisi Idris Wakil, iwe kipindi Cha Salmin Amour ,Au kipindu Cha Dr Sheiin
Huyu Makamu wa kwanza wa Raisi mfano wa Zanzibar wa Sasa Ni mla pilau tu misiba na pilau kwa waarabu wapemba na akina Duni Haji waswahili wenzie .Hana lolote
Zanzibar waarabu wapemba hawataki hata siku moja ishikwe na Mswahili mweusi Mia kwa Mia hata awe mpemba kama Shein nk hata wakushika Wala ubwabwa kwa wapemba kwenye misiba yao wawe CCM au upinzani wawe Duni Haji au huyo Makamu wa Kwanza wa Raisi atahesabika mtwana tu na hopeless hata awe upinzani
Wapemba waarabu Zanzibar Ni wakabila kupindukia akiwemo huyo Aliyekuwa Raisi Karume wa CCM mtoto wa Karume aliyeongea hayo
Seif Ni mwarabu mpemba alikuwa mbaguzi kama Nini serikali zote za umoja wa kitaifa alikubali Kama Raisi aliyepo madarakani ana vinasaba vya kipemba kiarabu kwa kuzaliwa .Period.Fuatilia historu ya Zanzibar ngozi nyeusi wenye wazazi wote wasio na vinasaba vya wapemba waarabu waneoneqa sana na wapemba waarabu kuanzia Mwasisi Sheihe Karume ,Abood Jumbe pamoja na kujikomba kwa akina Maalim Seif , mzee Mwinyi, Salmin Amoor ,mzee Idris na Dr Sheiin walionusurika Ni tu Wenye vinasaba vya wapemba waarabu Raisi Abeid Aman Karume huyo mlaumu CCM na Dk Hussein Mwinyi Raisi wa Sasa tuMbona unakuwa Kama Peter THE satan unasema uongo?
John the baptist hakuwa mwongo kama wewe.
Karume hakuuliwa Na mpemba
Wala Seif Si mwarabu. Mama yake ni mswahili mweusi Na Baba yake hivyo hivyo akiitwa maharage.
Chuki Na ubaguzi mnao nyinyi waafrika wa bara ,hasa nyinyi wakristo wakatoliki
Wana Ccm mnaojichukulia ni wazalendo sanaaa ni muflis . Hamna hoja sana sana mtakimbila ukabila, ukanda & udini .Karume na upinzani Zanzibar wakabila mno . Zanzibar akishika mwarabu mpemba au mtoto wa mwarabu mpemba serikali ya umoja wa kitaifa huwezekana akishika Mswahili ngozi nyeusi hata awe mpemba Kama Dr Sheiin Zanzibar haikaliki na hawataki serikali ya umoja wa kitaifa
Mfano Karume Mama yake ni mwarabu mpemba alioshika uraisi Maalim Seif Mtoto wa mwarabu mpemba akaacha vituko akaingia serikali ya umoja wa kitaifa maana waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba
Aliyemtangulia Karume Raisi Salmin Amour Mswahili ngozi nyeusi Maalim Seif mwarabu mpemba alimsumbua kweli kweli sio utani na hakutaka serikali ya umoja wa kitaifa naye
Raisi Mwinyi mzee baba yake Raisi Mwinyi wa Sasa alikuwa Mswahili ngozi nyeusi mtoto wa waswahili ngozi Nyeusi wapemba walimsumbua mno
Abdul wakil Mswahili vile vile walimsumbua kisa mtoto wa wazazi waswahili
Sasa huyu Raisi mwinyi wa Sasa Ni mtoto wa Mama asiki ya kiarabu mama Siti Mwinyi hapo wapemba waarabu meno nje Maalim Seif akakubali serikali ya umoja wa kitaifa na mtoto wa mwarabu mwenzao!!!
Karume alikubalika kwa wapemba sababu Mama yake Mwarabu ndio maana anajitia kushangaa eti kwani wanamshangaa Maalim Seif mwarabu mwenzie!!!
ukabila Zanzibar mkali mno kuliko bara
Wapinzani wenyewe hawautaki MUUNGANO.........Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume amesema miongoni mwa mambo yaliyowahi kumsikitisha ni kuitishwa kwa uchaguzi wa marudio mwaka 2015, wakati wakiwa kwenye kikao cha kujadili yaliyotokea katika uchaguzi huo akisema yeye alikuwa miongoni mwa wajumbe wa CCM waliokuwa wakifanya majadiliano na Maalim Seif baada ya uchaguzi ili kujua hatma ya Zanzibar.
Uchaguzi huo ulifutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakati huo Mwenyekiti wake akiwa Jecha Salim Jecha aliyeamua kufuta matokeo yaliyokuwa yakiendelea kutangazwa kisha ukatangazwa uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi 20 2016 ambao Maalim Seif aliususia.
"Nilishangaa hata wana CCM wenzangu wanahofia wapinzani kushinda, niliwauliza kwani hawa wenzetu si Watanzania? Hawataki haki na usawa? Niliwaambia Maalim Seif ni mtu muungwana kuliko hata walivyokuwa wakimuona na kumpa majina mabaya"-Karume.
View attachment 2002278
Hata ucgaguzi wa.2010 Maalim alishinda wazi wazi wakati Karume anamalizia muda wake. Alikuwa na nguvu ya kumtangaza mshindi halali!Hivi wale wana-CUF ambao waliuawa kule ZNZ back in 2001, na wengine kukimbilia uhamishoni; ilikuwa ni awamu ya nani?!
Sawa, tutambebesha zigo la misumari Mkapa kwa hoja kwamba ndie alipeleka polisi ZNZ kwenda kuua wana-CUF, na pia Karume bado alikuwa mgeni kwenye kiti lakini miezi michache ambayo alishakuwa madarakani ingemwezesha kugomea ukatili ule!!
Hayo majadiliano yalikuja baada ya CUF kuwa wameshauawa, na baada ya hapo hali ya ZNZ ikasambaratikavibaya mno!!
Zanzibar watu wakawa hawazikani!!
Visima vya maji vikawa vinajazwa vinyesi!!
Hata ulipoitishwa uchaguzi mwingine wa Wabunge, CUF "wakasusia" na Maalim akahamasisha Wafuasi wake wakapige kura za Maruani!!
2005 JK alipoingia madarakani bado hali ilikuwa mbaya Zanzibar!
JK, bila shaka kwa kutumia uzoefu wake wa kidiplomasia, ndipo akaunda Tume ya Maridhiano na kuitishwa Kura ya Maoni!
Kupitia kura za maoni ndipo Mfumo wa Utawala ZNZ ukabadilishwa na kuleta mfumo wa Serikali ya Mseto!! Na ndipo pia muundo wa Tume ya Uchaguzi ZNZ nao ukabadilishwa (ingawaje haujaleta suluhu) ili Wajumbe wake wawe wanatoka kwenye chama tawala na upinzani!
Lakini pamoja na kubadilisha mfumo wa ZEC, bado CCM wameendelea kubananga chaguzi ZNZ!
Kwahiyo tusidanganyane.!!
Hakuna mwana-CCM anayependa upinzani waingie Ikulu unless kama kushinda wanakoweza kuvumilia wengine ni ule ushindi wa ubungeTU lakini linapokuja suala la urais... WOTE, HAWAPO TAYARI KUONA WAPINZANI WANASHINDA!!!
Lakini ndio mambo yenu wana Lumumba hayoPorojo za kisiasa hizo!