Kama ni "ukabila" basi ni ma-CCM yenye ngpzi nyeusi kule ZNZ ndiyo yanaongoza kwa ubaguzi...
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi ndio hata baada ya miaka 60 ya uhuru, bado yanakumbushia habari ya Izbu!!
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi, ndiyo yamekuwa yakisema Uhuru wa Zanzibar ulipatikana kwa mapinduzi na KATU hawawezi kuachia serikali kwa njia ya karatasi
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi ndiyo yalikuwa yanahakikisha Salim Ahmed Salim hapati nafasi ya urais Tanzania kwa kigezo kile kile kwamba, SAS ni Izbu!!
Ni haya ma-CCM ya rangi nyeusi na itikadi zao mfu za ASP ndio yalifanya Wafuasi wa Umma Party wasifurahie uhuru wa nchi yao ingawaje walijitoa sana katika kuhakikisha mapinduzi yanafanyika!
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi ndiyo yanagawa wa-Zanzibar kwa misingi ya rangi...
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi ndiyo yalikuwa yanaeneza propaganda kwamba CUF ingeshinda, basi Mwarabu angerejea Zanzibar!
Ni haya ma-CCM ngozi nyeusi ndiyo huku bara yakawa yanaeneza propaganda kwamba CUF ni Chama cha Waislamu, na CHADEMA ni Chama cha Wakristo na Wachaga!!!