Pre GE2025 Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wameanza tenant😭😭😭
 
Ccm ni janga la taifa
 
INSIGNIFICANT/LOW VALUE TARGET
 
..Mwita Waitara wa CCM naye analalamika kuwa kuna vijana wake wanaomuunga mkono wametekwa hawajulikani waliko.
achague pakuripoti ikiwa ni polisi kwa msaada wa kiuchunguzi au mitandaoni ili kupata tension na huruma 🐒
 
Reactions: Tui
Tuingie road kama vipi maridhiano ni upuuzi Lissu aitishe maandamano tukinukishe akishamaliza sherehe za kumtoa Mbowe
Sherehe za kumtoa Mbowe unazijua wewe,Mimi nachosema maridhiano hayakua na maana yoyote,kama Mwamba aliamini hicho basi alifeli
 
Polisi hawana msaada kwenye masuala ya utekaji.

wangekuwa na msaada suala la kutekwa na jaribio la kumuua Sativa lingekuwa limepatiwa majibu.
 
..Polisi hawana msaada kwenye masuala ya utekaji.

..wangekuwa na msaada suala la kutekwa na jaribio la kumuua Sativa lingekuwa limepatiwa majibu.
mbona watua hawavai tena bullet proof vest kama tataizo ni polisi gentleman
 
this is very bad! My president take note of this, please!
 
Kwa hiyo na yule mangi aliyetaka kutekwa ili wakampige paipu, naye asingejikomboa mngeitisha maandamano!!? Acheni ufala, sio kila anayetekwa ni siasa wengine mna madeni, wanawake za watu, dhuluma au haujui!!
 
Nani amteke huyo mvuta bangi, kwanza angalia macho yake. Mkishaona mmepotea masikioni mwa watanzania mnakuja na kioja cha kipuuzi. Mmemhifadhi sehemu mpate la kuzungumza maana hakuna anayewazungumzia tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…