BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Uchumi kwiyokwa sasa kipaombele chetu mama ameshasema ni kukuza uchumi na kupambana na UVIKO 19....
Ndio mkuu....ni kwiyoUchumi kwiyo
(Amani ni hali ya raha na salama bila ugomvi; ni kinyume cha fujo au vita. Mara nyingi hali za amani ya nje na amani ya ndani hutofautishwa)Fikiria nchi ya Amani na Utulivu tumepeleka wanariadha watatu pekee kule Japan na hata hao watatu haijulikan wanafanya aje kwa sasa. Nashindwa kuelewa nchi zenye misuko suko ya kutosha zina wana michezo kibao kule Japan lakin nchi ya Amani na utulivu tumeweza kupeleka wanariadha watatu pekee.
Haya maneno Amani na Utulivu ndo CCM na watawala wanayatumia kupumbaza wananchi,