BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Fikiria nchi ya Amani na Utulivu tumepeleka wanariadha watatu pekee kule Japan na hata hao watatu haijulikani wanafanya aje kwa sasa. Nashindwa kuelewa nchi zenye misuko suko ya kutosha zina wanamichezo kibao kule Japan lakini nchi ya Amani na utulivu tumeweza kupeleka wanariadha watatu pekee.
Haya maneno Amani na Utulivu ndo CCM na watawala wanayatumia kupumbaza wananchi,
Haya maneno Amani na Utulivu ndo CCM na watawala wanayatumia kupumbaza wananchi,