crusader_jr
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 994
- 851
niko pale kusubiri MuongozoHebu nitoe tongotongo mkubwa, kilo 5 za dhahabu ni sawa na kilo 5 za mchele au dhahabu upimaji wake upoje!?
Ndo tatizo linaanzia hapo sasa...mtu ana-assume kubeba kilo tano za dhahabu ni sawa na kubeba kilo hizohizo za mchele...uzito uleule uongo..Hebu nitoe tongotongo mkubwa, kilo 5 za dhahabu ni sawa na kilo 5 za mchele au dhahabu upimaji wake upoje!?
em eleza vizuriNdo tatizo linaanzia hapo sasa...mtu ana-assume kubeba kilo tano za dhahabu ni sawa na kubeba kilo hizohizo za mchele...uzito uleule uongo..
Nimekosea mkuu ni milioni mia tano na ushee,thanks kunisahihishaUna uhakika hiyo ni bei ya dhahabu?
Hiyo ni total kwa kg 5 zote
Namaanisha mtu anaona kilo tano ya dhahabu ndogo sababu analinganisha na kilo tano za vitu vingine...lakini in reality 5kg of gold ni nyingi...em eleza vizuri
Kwan gram moja ni shilingi ngapi kwa sasa....Nimekosea mkuu ni milioni mia tano na ushee,thanks kunisahihisha
Wewe ni mjinga. KG ni international standard haijalishi inapima nini bado uzito ni ule ule. KG ya dhahabu ni ndogo kwa upana na urefu ila kwa uzito ni sawa na KG za chochote hata hewaNamaanisha mtu anaona kilo tano ya dhahabu ndogo sababu analinganisha na kilo tano za vitu vingine...lakini in reality 5kg of gold ni nyingi...
Ni sawa kwa uzito maana mzani ni ule ule.Hebu nitoe tongotongo mkubwa, kilo 5 za dhahabu ni sawa na kilo 5 za mchele au dhahabu upimaji wake upoje!?
kabisa mkuu ila sijui yeye anatumia vipimo gani atuelezeWewe ni mjinga. KG ni international standard haijalishi inapima nini bado uzito ni ule ule. KG ya dhahabu ni ndogo kwa upana na urefu ila kwa uzito ni sawa na KG za chochote hata hewa
Kuna mchina hapo kashafanya yake.kidogo sana
Afu ana degreekabisa mkuu ila sijui yeye anatumia vipimo gani atueleze
Hujaelewa.... Unakurupuka....,nazungumzia quality.... Kama quantity hata 5kg za dhahabu zinalingana na 5kg ya takataka...Wewe ni mjinga. KG ni international standard haijalishi inapima nini bado uzito ni ule ule. KG ya dhahabu ni ndogo kwa upana na urefu ila kwa uzito ni sawa na KG za chochote hata hewa
Dhahabu KG 30 hata mkate wa Gram 250 ni mkubwa.Hujaelewa.... Unakurupuka....,nazungumzia quality.... Kama quantity hata 5kg za dhahabu zinalingana na 5kg ya takataka...
Basi thamani.... Hii tz ya viwanda kazi sana.... Aliyekwambia quality ni ukubwa nan?Dhahabu KG 30 hata mkate wa Gram 250 ni mkubwa.
Wewe ndio unakurupuka. Quality inaingilianaje na mchele?unawezaje compare vitu jamii tofauti?
Tofauti yake ipoje hapo?Ndo tatizo linaanzia hapo sasa...mtu ana-assume kubeba kilo tano za dhahabu ni sawa na kubeba kilo hizohizo za mchele...uzito uleule uongo..
Kumbe watu hamjanielewa...uzito kwa maana ya mass ni sawa.... Mm nazungumzia uzito upande wa thamani..Tofauti yake ipoje hapo?
Tutoane ushamba wakuu!....Kilo 5 ndo zimefanyiwa shipmentš¤
manengelo
Japan?Hong Kong kwa ina macho ndogo,yaleyale kumkabidhi gari jambazi akulindieHivi ile smelter aliyoizungumzia mzee baba miaka kadhaa iliyopita imefikia wapi? Naona bado mzigo unasafishiwa Japan... Tuweke akiba ya maneno