Amani wamesafirisha mzigo wa gold kwa mara ya kwanza kilo 5.08

Hebu nitoe tongotongo mkubwa, kilo 5 za dhahabu ni sawa na kilo 5 za mchele au dhahabu upimaji wake upoje!?
Ndo tatizo linaanzia hapo sasa...mtu ana-assume kubeba kilo tano za dhahabu ni sawa na kubeba kilo hizohizo za mchele...uzito uleule uongo..
 
5000g x 40 = 200,000
Usd 200,000 +/- kidogo.
 
Namaanisha mtu anaona kilo tano ya dhahabu ndogo sababu analinganisha na kilo tano za vitu vingine...lakini in reality 5kg of gold ni nyingi...
Wewe ni mjinga. KG ni international standard haijalishi inapima nini bado uzito ni ule ule. KG ya dhahabu ni ndogo kwa upana na urefu ila kwa uzito ni sawa na KG za chochote hata hewa
 
Hebu nitoe tongotongo mkubwa, kilo 5 za dhahabu ni sawa na kilo 5 za mchele au dhahabu upimaji wake upoje!?
Ni sawa kwa uzito maana mzani ni ule ule.
Kilo ni standard ya Kimataifa hata hewa KG 1 ni sawa kiuzito na dhahabu au jiwe kg 1
 
Wewe ni mjinga. KG ni international standard haijalishi inapima nini bado uzito ni ule ule. KG ya dhahabu ni ndogo kwa upana na urefu ila kwa uzito ni sawa na KG za chochote hata hewa
kabisa mkuu ila sijui yeye anatumia vipimo gani atueleze
 
Wewe ni mjinga. KG ni international standard haijalishi inapima nini bado uzito ni ule ule. KG ya dhahabu ni ndogo kwa upana na urefu ila kwa uzito ni sawa na KG za chochote hata hewa
Hujaelewa.... Unakurupuka....,nazungumzia quality.... Kama quantity hata 5kg za dhahabu zinalingana na 5kg ya takataka...
 
Hivi ile smelter aliyoizungumzia mzee baba miaka kadhaa iliyopita imefikia wapi? Naona bado mzigo unasafishiwa Japan... Tuweke akiba ya maneno
 
Dhahabu KG 30 hata mkate wa Gram 250 ni mkubwa.

Wewe ndio unakurupuka. Quality inaingilianaje na mchele?unawezaje compare vitu jamii tofauti?
 
Basi thamani.... Hii tz ya viwanda kazi sana.... Aliyekwambia quality ni ukubwa nan?
 
Hivi ile smelter aliyoizungumzia mzee baba miaka kadhaa iliyopita imefikia wapi? Naona bado mzigo unasafishiwa Japan... Tuweke akiba ya maneno
Japan?Hong Kong kwa ina macho ndogo,yaleyale kumkabidhi gari jambazi akulindie
 
Back
Top Bottom